Bukoba: Vibanda 500 vya Machinga Vilivyopo kandokando ya barabara, vyabomolewa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Vibanda 500 vya machinga vilivyojengwa kando ya barabara ya Manispaa ya Bukoba vyabomolewa baada ya kukaidi kuhamishwa na Manispaa.

"Huku kwetu Bukoba hali si shwari,watu wanalalamika wengine wanavunjiwa vibanda vyao kwa ajiri ya kuondoa machinga wote mitaani, Hivi kwa hali hii kuna uwezekano Wa kupunguza umaskini kweli?" Amesikika Machinga akilalamika.
13315498_1722041838066209_5164746923669047498_n.jpg

 
Back
Top Bottom