Bukoba mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,713
Baada ya kutoka Mwanza kujua maisha yake yapoje leo nipo Bukoba.

Kuna watu wanapotosha sehemu za mikoa kuwa zipo hivi.

Kwanza natanguliza shukrani kwa marehemu JPM japo wanasema binadamu hata tufanyiwe nini shukrani ziro.

Marehemu JPM kaweza sana kuboresha miji iliyopo mikoani asilimia kubwa.

Niliyokuta Bukoba
Yale mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu.

Barabara za mjini zimeongezeka na zengine kiwango cha lami.

Nilicho kuta msikiti mkubwa ambao mpaka sasa nimewapa big up Bukoba.

Watu wameelimika kujenga kwao sasa

IMG_0539.jpg

IMG_0540.jpg

IMG_0541.jpg

IMG_0545.jpg

IMG_0543.jpg

IMG_0544.jpg

IMG_0546.jpg

IMG_0550.jpg

Nilichogundua mkoa wa Kagera uislamu unakuwa kwa kasi sana maana miaka ya nyuma ulikuwa sehemu chache.

nitaendea…

IMG_0548.jpg
 
Sawa Magu kajitahidi.

Lakini kaubagua huu mkoa kwenye stendi ya mkoa, soko kuu la mji na barabara za mjini zimechakaa Sana.

But kwa upande vijijini huko ndio Kuna mijumba na mahekalu
 
Baada ya kutoka Mwanza kujua maisha yake yapoje leo nipo Bukoba.

Kuna watu wanapotosha sehemu za mikoa kuwa zipo hivi.

Kwanza natanguliza shukrani kwa marehemu JPM japo wanasema binadamu hata tufanyiwe nini shukrani ziro.

Marehemu JPM kaweza sana kuboresha miji iliyopo mikoani asilimia kubwa.

Niliyokuta Bukoba
Yale mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu.

Barabara za mjini zimeongezeka na zengine kiwango cha lami.

Nilicho kuta msikiti mkubwa ambao mpaka sasa nimewapa big up Bukoba.

Watu wameelimika kujenga kwao sasaView attachment 1938691
View attachment 1938692
View attachment 1938693
View attachment 1938694
View attachment 1938695
View attachment 1938696
View attachment 1938698
View attachment 1938699

Nilichogundua mkoa wa Kagera uislamu unakuwa kwa kasi sana maana miaka ya nyuma ulikuwa sehemu chache.

nitaendea…

View attachment 1938697
Unasema bukoba hakuna migomba!!

Wakati kagera unazalisha asilimia 60 ya ndizi zote nchini.asilimia 65 ya kahawa na asilimia 20 ya maharage
Screenshot_20210910-143139.jpg
Screenshot%20(20210905-115855)~2.jpg
Screenshot%20(20210905-115826)~2.jpg
Screenshot%20(20210905-121047)~2.jpg
 
Kwanza kuendelea kwa vijiji vya Bukoba siyo magufuli watu wamestaarabika kitambo

Zamani kuna Miradi kadhaa kama ya Philipp PARTAGE alisaidia watoto yatima

Rwegalulila alisaidia upatikanaji wa maji vijijini

Elimu walipata Uganda na nje

majumba ya Kifahari yameanza kitambo enzi za BenardMulokozi, Rubandebage, Rweyemamu na Rwegasila!! Ruhangisa na Katunzi bila kusahau akina Rugambwa na Mwombeki hizo ni icon za kimataiFa
 
Yooh bhoooojhoooo!Inabidi upongezwe kwa kutengenezewa "uji muraini" unywe!😝😝😝
 
Nafikiri mtoa post alitaka kusema migomba imepotea ndani mamlaka ya mji wa Bukoba. Ni ukweli usiopingika kwamba miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na sehem nyingi zenye migomba ukitoka katikati ya mji lakini sasa hivi mambo yanabadilika haraka sana, watu wameongezeka sana mjini na watu wamejenga sana mjini. Mji unatanuka haraka sana na umeshaungana na Bukoba vijijini, mfano ukipitia barabara ya kwenda mtukula tayari mji umeungana na kata ya katoma, kwenda bugabo umeungana na nyakato n.k
 
Ardhi yao imechoka na kuna ugonjwa wa mnyauko
 
Wilaya ya bukoba ni kweli hakuna migomba sababu ya mnyauko.migomba ipo muleba,karagwe,kyerwa na misenyi.na ndio wanalisha wahaya wa bukoba ndizi
Sema huo mnyauko umepungua sana siku hiz.

Watu wanalima maharage, vanilla na mbogamboga.

Pia mji wa bukoba umeanza kumeza vijiji vinyouzunguka mfano nyakato,baadhi ya sehemu za itahwa na katoma
 
Wilaya ya bukoba ni kweli hakuna migomba sababu ya mnyauko.migomba ipo muleba,karagwe,kyerwa na misenyi.na ndio wanalisha wahaya wa bukoba ndizi
Sio kweli kwamba hakuna migomba wilaya ya Bukoba isipokuwa baadhi ya maeneo walibadilisha aina ya migomba kutoka ya zamani na kupanda ya kisasa especially migomba aina ya FIA na ndizi zake zina soko mikoa ya jirani, ukienda maeneo ya izimbya bado kuna ndizi za asili za kutosha sasa hivi kuna hadi mkungu wa elfu moja
 
Back
Top Bottom