bukoba kutamu jamani!

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
hivi nnaongea niko bukoba club,toto la kihaya toka muleba ( omuhamba kazi),guu la chupa ya bia,shepu ya kuua mtu,macho utadhani limekula kungu,nido sa sita mchana,sauti whitney yuston,pembeni limepaki rav4,Mungu ampe nini bishanga,jamani wachitchat njooni mniokoe raha zimenipalia koo,halafu mtoto ananitishia kuniua kwa maraha leo,anasema nijiandae kwa style ya full service,mtoto wa kiume unalala chali mrembo anajipakulia,uuuuuuuuuwi bishanga nafwa kwa maraha!
 
Hapana kwakweli. Bishanga unafwaidi jamani. Mkaribishemo na Mlokozi mufwaidi wote.
 
Angalia siku yenyewe kinaadhimishwa nini? Na unakumbuka kale ka ugonjwa ka juliana kalianzia mkoa upi? Kazi ni kwako usijesema nakuonea wivu. Ponda raha kufa kwaja Bishanga! Vunja mifupa wakati meno unayo mkubwa MM. Nimemaliza.
 
Last edited by a moderator:
Mgeni ameingiaaaaaaaa.....mgeniii...mgeniii...Kikapten komba zaidi...
Parapandaaa....parapandaa italiiaaa...parapandaa...ndugu yetu Bishangaa..atakuwaa amekwisha ....
 
Hapana kwakweli. Bishanga unafwaidi jamani. Mkaribishemo na Mlokozi mufwaidi wote.

Maa'awee! Vyaivo sivitaki ! Vya kukalibishana vimwana! Iti izi vere unkonfotabo bwana'a!
And donti fogeti na kachabali bwana'a!
 
Angalia siku yenyewe kinaadhimishwa nini? Na unakumbuka kale ka ugonjwa ka juliana kalianzia mkoa upi? Kazi ni kwako usijesema nakuonea wivu. Ponda raha kufa kwaja Bishanga! Vunja mifupa wakati meno unayo mkubwa MM. Nimemaliza.

Utajuaje, pengine na ye anako hako kajuliana! LOL
 
Angalia siku yenyewe kinaadhimishwa nini? Na unakumbuka kale ka ugonjwa ka juliana kalianzia mkoa upi? Kazi ni kwako usijesema nakuonea wivu. Ponda raha kufa kwaja Bishanga! Vunja mifupa wakati meno unayo mkubwa MM. Nimemaliza.
maneno ya mkosaji,ushawahi kukutana toto la kihaya original,ghodoro shurti lifunikwe kwa plastic,chezeiya wewe kina KOKUTONA!
 
Last edited by a moderator:
Mgeni ameingiaaaaaaaa.....mgeniii...mgeniii...Kikapten komba zaidi...
Parapandaaa....parapandaa italiiaaa...parapandaa...ndugu yetu Bishangaa..atakuwaa amekwisha ....
acheni hizo,bishanga akiponda raha maneni kibaaaaao,mbona hamumsemi Chimbuvu anayebadili wanawake kama mashati,tena umenikumbusha,ana tuhuma huyu ngoja nikamfungulie uzi fasta,title 'inauma sana'.
 
Last edited by a moderator:
hivi nnaongea niko bukoba club,toto la kihaya toka muleba ( omuhamba kazi) ,guu la chupa ya bia,shepu ya kuua mtu,macho utadhani limekula kungu,nido sa sita mchana,sauti whitney yuston,pembeni limepaki rav4,Mungu ampe nini bishanga,jamani wachitchat njooni mniokoe raha zimenipalia koo,halafu mtoto ananitishia kuniua kwa maraha leo,anasema nijiandae kwa style ya full service,mtoto wa kiume unalala chali mrembo anajipakulia,uuuuuuuuuwi bishanga nafwa kwa maraha!

Jamani Bishanga, huyo mrembo atakuwa ametoka Kamachumu, siyo Muleba. Endelea kuponda raha, kufa kwaja; wala siyo mbali, mwezi huu tarehe 21!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom