Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
hivi nnaongea niko bukoba club,toto la kihaya toka muleba ( omuhamba kazi),guu la chupa ya bia,shepu ya kuua mtu,macho utadhani limekula kungu,nido sa sita mchana,sauti whitney yuston,pembeni limepaki rav4,Mungu ampe nini bishanga,jamani wachitchat njooni mniokoe raha zimenipalia koo,halafu mtoto ananitishia kuniua kwa maraha leo,anasema nijiandae kwa style ya full service,mtoto wa kiume unalala chali mrembo anajipakulia,uuuuuuuuuwi bishanga nafwa kwa maraha!