Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

Wahaya mligawana minoti kwenye viroba pale Mkombozi bank, Tena wengine wakaziita pesa za mboga ilhal Bukoba wanafunzi hawana madawati.
Hivi Ile bilioni ya mama prof T. Ingenunua madawati mengapi?
 
Wahaya mligawana minoti kwenye viroba pale Mkombozi bank, Tena wengine wakaziita pesa za mboga ilhal Bukoba wanafunzi hawana madawati.
Hivi Ile bilioni ya mama prof T. Ingenunua madawati mengapi?
Ilijenga hili ghorofa huko bukoba

Nyumba ya mama Anna Tibaijuka huko bk



Na pia hiyo shule ya wasichana.

images%20(14).jpg
hqdefault.jpg
 
Katika kuonyesha kuitikia wito wana Bukoba wa Dar es Salaam na ughaibuni wameahidi kuchangia jumla ya trilion 3 kila baada ya miezi 3 ili kuboresha litakalokuwa jiji la NEW BUKOBA. Bukoba ndo home.
Ni vyema kufikiria yafuatayo kabla ya kufikiria New Bukoba iliyo kama New York;
1. Bukoba Bust Stand;
2. Soko kuu la Bukoba;
3. Huduma nzuri kwa wateja katika hotel, maduka na mahali pengine;
4. Muda wa kufungua maduka na kufunga; (Huduma hufungwa mapema na kufunguliwa kwa kuchelewa)
5. Kujifunza kutoka kwa wageni waliofanikiwa badala ya kuwapiga vita;
6. Kuacha tabia za kujipendekeza, unafiki,uzandiki na uchonganishi;
 
Stand tu imewashinda,achilia mbali kuipiku Dubaï,hata kuipiku runzewe hamuwezi
Mnachekesha sana wanywa rubisi wa minziro
 
Back
Top Bottom