Bui buji ndani ya qunu

ha ha ha ha ha ha ha mbavu zangu jaman alafu bujibuji amevalia kimila hapa na mgorori wa kimasai,bujibuji bhana umetisha mkuu,cjakuona jamvin kumbe ulitangulia huku qunu,shuhul ikimalzika nikute hapa jukwaa kuu nipo jiran na Ritz mwana wa mkulu.
 
mkuu edit heding yako isomeke Bujibuji sio hii yako kuna watu wako makini kusahisha makosa humu nadhani taaluma zao ni ualimu,
 
Last edited by a moderator:
Kwani aliambiwa kuna mazindiko huko bondeni.?
Wee kamama una matatizo sana.
Mi sina neno ila nakuogopa kama ukoma.
Baada ya kuuua na kujiua kwa bastola sasa naona mmehamia kwenye kuchoma nyumba..... kisha UTAMU WA TUKUYU.
Mnachekesha sana, bora mje niwafanyie maombi, pepo wa wivu awatoke.
Wachagga wa zamani walikuwa na wivu wa pesa, Wachagga wa kizazi hiki wana wivu na viungo vya wenzao
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom