Tetesi: Buhari kanasa kwenye Korona anatibiwa Cuba kisirisiri

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Inadaiwa Rais wa Nigeria Buhari naye kanasa. Yupo Cuba anatibiwa kisiri. Chief of staff wake Abba Kyari alitoka nao Germany na akatest positive lakini ndugu Buhari alipimwa akakitwa hana.

Tetesi hizi zinaenezwa sana na wa Igbo ambao wanafunga hili Buhari apotee kabisa kwasababu yeye na mkuu wa jeshi wanawafadhili na kuwalinda Boko Haram.

Lakini za chinichini zinadai alinasa na kusnick Cuba.

Hata kama anao ama hana tumuombeeni ndugu Buhari kutawala wa Nigeria siyo mchezo na rahis ukizingatia kabila la Igbo linataka kujitenga na kuwa Biafra.

Igbo wanalalamika Buhari ni mdini na mkabila kajaza kabila lake Fulani ambao wanathamini ng'ombe kuliko binadamu nje ya kabila lao katika nyadhifa nyeti za kiusalama.
 
Naomba kujua Igbo na wako Kaskazini Mashariki kwa Nigeria? Na je ni Waislam majority?
 
Hiyo Boko haram ilikuwepo kabla hata ya Buhari kufikiriwa kuingia Ikulu.

Wanasiasa waliiasisi kama tatizo ili kuwaonesha wapiga kura wao kuwa kuna ulazima waendelee kuchaguliwa kushika nyadhifa zao ili waendeleze mapambano ya kutatua tatizo hilo. Pia ni sehemu ya kupiga pesa ndefu kwa jeshi la Nigeria kupitia bajeti za kufanya opareshen za kitapeli za kijeshi za miaka nenda rudi, zisizo na lengo hasa la kuondoa tatizo (ulaji).

Kundi hilo halitakuja futika eti kwa kutegemea walioliunda ndio walisambaratishe. Utashangaa sana kijikundi kidogo ndani ya mipaka ya nchi huru, hakimiliki uwanja wa ndege wala bandari, lakini hakiishiwi silaha miaka nenda rudi.

Ila mrusi akiingia hapo, anakisambaratisha ndani ya miezi michache mno.
 
na mkabila kajaza kabila lake Fulani ambao wanathamini ng'ombe kuliko binadamu nje ya kabila lao katika nyadhifa nyeti za kiusalama.... Kuna mtu mahali namfananisha naye
Inadaiwa Rais wa Nigeria Buhari naye kanasa. Yupo Cuba anatibiwa kisiri. Chief of staff wake Abba Kyari alitoka nao Germany na akatest positive lakini ndugu Buhari alipimwa akakitwa hana.

Tetesi hizi zinaenezwa sana na wa Igbo ambao wanafunga hili Buhari apotee kabisa kwasababu yeye na mkuu wa jeshi wanawafadhili na kuwalinda Boko Haram.

Lakini za chinichini zinadai alinasa na kusnick Cuba.

Hata kama anao ama hana tumuombeeni ndugu Buhari kutawala wa Nigeria siyo mchezo na rahis ukizingatia kabila la Igbo linataka kujitenga na kuwa Biafra.

Igbo wanalalamika Buhari ni mdini na mkabila kajaza kabila lake Fulani ambao wanathamini ng'ombe kuliko binadamu nje ya kabila lao katika nyadhifa nyeti za kiusalama.

Jr
 
We ni mnaijeria wa upinzani nini? Mbona umeleta uzi kimbea mbea hizi na furaha za buhari kuumwa?
 
Hujajua Historiabya Buhari vizuri.Mara ya pili kuwa rais wa Nigeria.Na bila shaka Boko Haram wana mkono wa watu wazito.
Tangia Buhari aingie madarakani Boko haram wamepunguza makali.Sio kawaida yao
Hiyo Boko haram ilikuwepo kabla hata ya Buhari kufikiriwa kuingia Ikulu.

Wanasiasa waliiasisi kama tatizo ili kuwaonesha wapiga kura wao kuwa kuna ulazima waendelee kuchaguliwa kushika nyadhifa zao ili waendeleze mapambano ya kutatua tatizo hilo. Pia ni sehemu ya kupiga pesa ndefu kwa jeshi la Nigeria kupitia bajeti za kufanya opareshen za kitapeli za kijeshi za miaka nenda rudi, zisizo na lengo hasa la kuondoa tatizo (ulaji).

Kundi hilo halitakuja futika eti kwa kutegemea walioliunda ndio walisambaratishe. Utashangaa sana kijikundi kidogo ndani ya mipaka ya nchi huru, hakimiliki uwanja wa ndege wala bandari, lakini hakiishiwi silaha miaka nenda rudi.

Ila mrusi akiingia hapo, anakisambaratisha ndani ya miezi michache mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari inaonekana ni propaganda za wapinzani wa Buhari waliojificha kwenye kichaka cha udini na ukabila ili kumhujumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom