pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Usiwe na presha, rais Uhuru aliwakilisha ukanda huu bila aibu ndogo ndogo. Tena ilikuwa ni kama kitu cha kawaida tu kwake .Waiting for his backstabbing opinion over Uhuru!
You'll keep on doing what you are doing as of now, 'keep waiting' probably until when the cows come home.Waiting for his backstabbing opinion over Uhuru!
Achana naye huyo. Ingekuwa ni Jiwe laiti traki mambo yangemuendea vibaya zaidi ya Buhari.You'll keep on doing what you are doing as of now, 'keep waiting' probably until when the cows come home.
Hakuna cha kuwakilisha ukanda, yeye alienda kwa ajili ya Kenya usituingize katika fedhea yenu, ninyi kazi yenu ni kujikomba kwa wazungu tangu zamani, sisi hiyo haijawahi kuwa sera yetu tangu enzi za Nyerere tunahisi ni kujidhalilisha, tafadhali sana usitushirikishe katika hili.Usiwe na presha, rais Uhuru aliwakilisha ukanda huu bila aibu ndogo ndogo. Tena ilikuwa ni kama kitu cha kawaida tu kwake .
Upende usipende rais Uhuru aliwakilisha ukanda huu wote wa Afrika ya mashariki na kati. Ndio maaana walijadili masuala ya S.Sudan. Tz ni nchi moja tu kati ya zingine kadhaa kwenye ukanda huu. Uafrika na uzungu sio ishu, rais Uhuru Kenyatta alialikwa ili waketi kwenye kikao na wajadiliane na rais wa nchi ambayo ipo mbali sana kiuchumi, kimaendeleo, n.k, n.k..Hakuna cha kuwakilisha ukanda, yeye alienda kwa ajili ya Kenya usituingize katika fedhea yenu, ninyi kazi yenu ni kujikomba kwa wazungu tangu zamani, sisi hiyo haijawahi kuwa sera yetu tangu enzi za Nyerere tunahisi ni kujidhalilisha, tafadhali sana usitushirikishe katika hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utangoja sana.Waiting for his backstabbing opinion over Uhuru!
Wivu tu kama kawa, meza dawa upunguze maumivu.Hivi nyie vibaraka wa ngozi nyeupe mtakuwa lini?
Watumwa mamboleo ni shida sana walahi!
That’s all
Lazima alikua kashapga kimznga cha konyagi kama kawaida kuondoa viaibu!!!Usiwe na presha, rais Uhuru aliwakilisha ukanda huu bila aibu ndogo ndogo. Tena ilikuwa ni kama kitu cha kawaida tu kwake .
Namkubali sana uhuru, anaweza hata akamlamba miguu trumpUsiwe na presha, rais Uhuru aliwakilisha ukanda huu bila aibu ndogo ndogo. Tena ilikuwa ni kama kitu cha kawaida tu kwake .
Sasa unataka kutulazimisha tushiriki katika fedheha yenu kwa nguvu?. Kenya, Uganda na Ethiopia zimepakana na S. Sudan na ndizo zinazphusika zaidi katika kusuluhisha mzozo huo, ulitaka Trump asizungumzia hilo Suala na Kenya badala yake azungumze na rais wa Botswana au?.Upende usipende rais Uhuru aliwakilisha ukanda wa Afrika ya mashariki na kati. Ndio maana waliongea kuhusu S.Sudan. Tz ni inchi moja tu kati ya zingine kadhaa ukanda huu. Uzungu na Uafrika sio ishu rais Uhuru alialikwa waketi kwenye kikao na rais wa nchi ambayo ipo mbali sana kiuchumi, kimaendeleo n.k.
Kwani wazungu ni nani? Si ni watu tu kama wewe?Hivi nyie vibaraka wa ngozi nyeupe mtakuwa lini?
Watumwa mamboleo ni shida sana walahi!
That’s all
Subirini tu hapo Chato, rais Uhuru Kenyatta atarudi na mrejesho.Sasa unataka kutulazimisha tushiriki katika fedheha yenu kwa nguvu?. Kenya, Uganda na Ethiopia zimepakana na S. Sudan na ndizo zinazphusika zaidi katika kusuluhisha mzozo huo, ulitaka Trump asizungumzia hilo Suala na Kenya badala yake azungumze na rais wa Botswana au?.
Mbona mikataba ya biashara hajasaini ya ukanda mzima badala yake ni Kenya pekee?. Hii ni kawaida yenu ninyi ubinafsi umewajaa sana, wakimbiaji wenu wakishinda huko nchi za nje mnasema ni mkenya ameshinda, ila musicians wa Tanzania akifanya vizuri mnasema huyu ni East african. Sisi hatuna tabia ya kujikomba kwa wazungu, Uhuru amewakilisha Kenya sisi hatukubaliani na tabia yake ya kuzurura aimlessly, tulimchukia Kikwete kwasababu ya tabia hiyo ya kuzurura hovyo, kama ninyi mnaipenda msitushirikishe sisi hatuitaki kabisaaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima yangu kwako nimeushusha. Huu mtazamo wako ni ya kiushamba sana.Sasa unataka kutulazimisha tushiriki katika fedheha yenu kwa nguvu?. Kenya, Uganda na Ethiopia zimepakana na S. Sudan na ndizo zinazphusika zaidi katika kusuluhisha mzozo huo, ulitaka Trump asizungumzia hilo Suala na Kenya badala yake azungumze na rais wa Botswana au?.
Mbona mikataba ya biashara hajasaini ya ukanda mzima badala yake ni Kenya pekee?. Hii ni kawaida yenu ninyi ubinafsi umewajaa sana, wakimbiaji wenu wakishinda huko nchi za nje mnasema ni mkenya ameshinda, ila musicians wa Tanzania akifanya vizuri mnasema huyu ni East african. Sisi hatuna tabia ya kujikomba kwa wazungu, Uhuru amewakilisha Kenya sisi hatukubaliani na tabia yake ya kuzurura aimlessly, tulimchukia Kikwete kwasababu ya tabia hiyo ya kuzurura hovyo, kama ninyi mnaipenda msitushirikishe sisi hatuitaki kabisaaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwawakilisha hao aliowajadili, somalia, sudan, Tz hana hadhi ya kuiwakilisha, aiwakilishe kwenye jambo gani kwa mfano. Nyie mnachekesha kweli.Upende usipende rais Uhuru aliwakilisha ukanda huu wote wa Afrika ya mashariki na kati. Ndio maaana walijadili masuala ya S.Sudan. Tz ni nchi moja tu kati ya zingine kadhaa kwenye ukanda huu. Uafrika na uzungu sio ishu, rais Uhuru Kenyatta alialikwa ili waketi kwenye kikao na wajadiliane na rais wa nchi ambayo ipo mbali sana kiuchumi, kimaendeleo, n.k, n.k..
Tulieni wakuu, hizi ligi za ugenini hazichezagwi na watu wa divishen1. Jiwe ajikakamue kwenye mazoezi kwanza.Lazima alikua kashapga kimznga cha konyagi kama kawaida kuondoa viaibu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app