'Buhari Is So Lifeless!': Asema Trump Baada Ya Kikao Chake Na Rais Wa Nigeria- Financial Times

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,119
2,000
1809222.jpg
Trump Says Buhari Is So Lifeless- FINANCIAL TIMES Ukweli usemwe tu, Rais Uhuru Kenyatta huwa anatuwakilisha ifaavyo, sisi watu wa Afrika Mashariki. Wenzetu kule magharibi waliabishwa sana na rais Buhari. Alikuwa anaongea kwa njia ambayo haieleweki, wala hakuweza kuuliza maswali yeyote au kujibu maswali ya Trump kuhusu Nigeria na Afrika.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,729
2,000
Usiwe na presha, rais Uhuru aliwakilisha ukanda huu bila aibu ndogo ndogo. Tena ilikuwa ni kama kitu cha kawaida tu kwake .
Hakuna cha kuwakilisha ukanda, yeye alienda kwa ajili ya Kenya usituingize katika fedhea yenu, ninyi kazi yenu ni kujikomba kwa wazungu tangu zamani, sisi hiyo haijawahi kuwa sera yetu tangu enzi za Nyerere tunahisi ni kujidhalilisha, tafadhali sana usitushirikishe katika hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,119
2,000
Hakuna cha kuwakilisha ukanda, yeye alienda kwa ajili ya Kenya usituingize katika fedhea yenu, ninyi kazi yenu ni kujikomba kwa wazungu tangu zamani, sisi hiyo haijawahi kuwa sera yetu tangu enzi za Nyerere tunahisi ni kujidhalilisha, tafadhali sana usitushirikishe katika hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upende usipende rais Uhuru aliwakilisha ukanda huu wote wa Afrika ya mashariki na kati. Ndio maaana walijadili masuala ya S.Sudan. Tz ni nchi moja tu kati ya zingine kadhaa kwenye ukanda huu. Uafrika na uzungu sio ishu, rais Uhuru Kenyatta alialikwa ili waketi kwenye kikao na wajadiliane na rais wa nchi ambayo ipo mbali sana kiuchumi, kimaendeleo, n.k, n.k..
 
cordoba

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
692
1,000
Write your reply...Tanzania is a southern African countries more than Eastern Africa country
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,729
2,000
Upende usipende rais Uhuru aliwakilisha ukanda wa Afrika ya mashariki na kati. Ndio maana waliongea kuhusu S.Sudan. Tz ni inchi moja tu kati ya zingine kadhaa ukanda huu. Uzungu na Uafrika sio ishu rais Uhuru alialikwa waketi kwenye kikao na rais wa nchi ambayo ipo mbali sana kiuchumi, kimaendeleo n.k.
Sasa unataka kutulazimisha tushiriki katika fedheha yenu kwa nguvu?. Kenya, Uganda na Ethiopia zimepakana na S. Sudan na ndizo zinazphusika zaidi katika kusuluhisha mzozo huo, ulitaka Trump asizungumzia hilo Suala na Kenya badala yake azungumze na rais wa Botswana au?.

Mbona mikataba ya biashara hajasaini ya ukanda mzima badala yake ni Kenya pekee?. Hii ni kawaida yenu ninyi ubinafsi umewajaa sana, wakimbiaji wenu wakishinda huko nchi za nje mnasema ni mkenya ameshinda, ila musicians wa Tanzania akifanya vizuri mnasema huyu ni East african. Sisi hatuna tabia ya kujikomba kwa wazungu, Uhuru amewakilisha Kenya sisi hatukubaliani na tabia yake ya kuzurura aimlessly, tulimchukia Kikwete kwasababu ya tabia hiyo ya kuzurura hovyo, kama ninyi mnaipenda msitushirikishe sisi hatuitaki kabisaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000
Hivi nyie vibaraka wa ngozi nyeupe mtakuwa lini?
Watumwa mamboleo ni shida sana walahi!
That’s all
Kwani wazungu ni nani? Si ni watu tu kama wewe?

Ishu sio wao kuwa wazungu, bali uwezo mkuu wa nchi hizo kwenye nyanja za kiuchumi, technolojia, kijeshi nk. Tanzania pia si imekuwa ikijikomba kwa wachina, Waarabu, Africa Kusini nk?

Tena kwa muda mrefu bado, hizi nchi zetu zitaendelea kuhitaji mataifa yaliyostawi ili zenyewe kuweza kujistawi. Hebu tukome kujiringa ilhali hatuna.

Kuwaona wazungu kama vibaraka tu, bali sio partners kwenye nyanja zote za kimaendeleo ni uffala uliopitiliza. Heri waafrika tukomeshe mitazamo hizi hasi na za kiupuzi namna hii.

Kenya twajifunza kutoka kwa nchi hizo zilizostawi, haijalishi kama ni za kizungu ama watu gani. Nyinyi endeleni na huo 'uafrika' wenyu kana kwamba mtatuzidi uafrika kwa vyovyote mwisho wa siku.
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,119
2,000
Sasa unataka kutulazimisha tushiriki katika fedheha yenu kwa nguvu?. Kenya, Uganda na Ethiopia zimepakana na S. Sudan na ndizo zinazphusika zaidi katika kusuluhisha mzozo huo, ulitaka Trump asizungumzia hilo Suala na Kenya badala yake azungumze na rais wa Botswana au?.

Mbona mikataba ya biashara hajasaini ya ukanda mzima badala yake ni Kenya pekee?. Hii ni kawaida yenu ninyi ubinafsi umewajaa sana, wakimbiaji wenu wakishinda huko nchi za nje mnasema ni mkenya ameshinda, ila musicians wa Tanzania akifanya vizuri mnasema huyu ni East african. Sisi hatuna tabia ya kujikomba kwa wazungu, Uhuru amewakilisha Kenya sisi hatukubaliani na tabia yake ya kuzurura aimlessly, tulimchukia Kikwete kwasababu ya tabia hiyo ya kuzurura hovyo, kama ninyi mnaipenda msitushirikishe sisi hatuitaki kabisaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Subirini tu hapo Chato, rais Uhuru Kenyatta atarudi na mrejesho.
 
Heshima yangu kwako nimeushusha. Huu mtazamo wako ni ya kiushamba sana.
 
Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,872
2,000
Upende usipende rais Uhuru aliwakilisha ukanda huu wote wa Afrika ya mashariki na kati. Ndio maaana walijadili masuala ya S.Sudan. Tz ni nchi moja tu kati ya zingine kadhaa kwenye ukanda huu. Uafrika na uzungu sio ishu, rais Uhuru Kenyatta alialikwa ili waketi kwenye kikao na wajadiliane na rais wa nchi ambayo ipo mbali sana kiuchumi, kimaendeleo, n.k, n.k..
Aliwawakilisha hao aliowajadili, somalia, sudan, Tz hana hadhi ya kuiwakilisha, aiwakilishe kwenye jambo gani kwa mfano. Nyie mnachekesha kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom