Buguruni Police hali si shwari

KIMAROO

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
453
258
Nimepita hapo Buguruni this morning hali si shwari baada ya coaster kumgonga na kumuua mama mmoja hapohapo raia wamezingira kituo hebu mliopo huko now mtujuze kinachoendelea..
 
Duh!mbona hajali zinazidi kutokea kwa wingi?au ndiyo mwisho wa mwaka?
 
Huko buguruni hakuna cha ziada walipiga risasi za juu kutawanya watu story ikaishia hapo huyo driver sijui tena
 
Back
Top Bottom