Bugando kupata Mashine ya MRI!

Inang'ara CCM! Inang'ara CCM! Kimenuka kwa UKIWA/CHADOMO...huku watu wanajipanga kujenga NCHI wao wanajipanga kuleta VURUGU.....mwaka huu sijui wamekula MAJANI YA WAPI!!!
ccm hamna chenu, hii ni serikali ya Magufuli. Wasukuma ndo tumemuweka magu kwenye kiti na ndo maana amefuta safari za maccm nje ili kaleta MRI bugando ili bangosha tubate tiba safi
 
KCMC inahudumia watu wa kaskazini walimpatia kura kiduchu.halfu usisahau Bugando ni Catholic na KCMC ni Lutheran anakotoka Lowassa mbona wataisoma namba waprotestant haaa haaa.

Wanaotibiwa kcmc ni watanzania sio wana ccm au ukawa ,besides hata wasipotoa misaada yao ni swala tu management ya KKKT kukaa na kuwaambia waumini wachangie ,wakristo tumeshazoea kutoa/ kusaidia hivyo endelea kusema wataisoma namba maana wanaokufa kwa kukosa huduma ni ukawa
 
ccm hamna chenu, hii ni serikali ya Magufuli. Wasukuma ndo tumemuweka magu kwenye kiti na ndo maana amefuta safari za maccm nje ili kaleta MRI bugando ili bangosha tubate tiba safi

Wewe utakuwa ni CHAGGA la kutupwa! Mikoa yote ukiondoa manyumbu ya Kilimanjaro, Arusha, Pemba na Dar....wameshiriki kumweka TINGA TINGA madarakani........ Hii ndiyo CCM chama cha KITAIFA!
 
Naona ndugu yangu we we uko nje kidogo ya mfumo wa ccm.Walio ndani 100% wanalia na kusaga meno, wanashangaa imekuwaje mwenzao kawa geuka.Madill,kujuana, urafiki, hawala nk. Uchafu - Magu kaweka pembeni hiyo Sera mama.Waulize walio jikoni hapo Lumumba wana msiba mioyoni.

Lakini unashangaza unapotaka kulinganisha ccm walioko madarakani na Ukawa ambao hawako madarakani.Nakuomba usubiri uone watakavyo kuwa wanaisimamia serikali yenu bunge litakapo anza vikao.

UKAWA hawana Focus wala nia njema na wananchi.... sasa hivi wameshaanza kulilia hela za mashangingi na wanajipanga kugomea milioni 90,000,000 Tsh kuwa ni ndogo.....Haijawai kutokea UKAWA wagomee BUNGE kwa kuwapigania wananchi kwenye issue za ongezeko la kodi, bei ya vyakula....ukisikia UKAWA wamegoma ujue ni issue zao za kugombea madaraka ya kisiasa na CCM...... yaani UKAWA HOVYO KWELI.....HAMNA DEAL!
 
Huyu ombeni sefue mbona kawa kiungo mzuri siku hizi. Wakati wa JK alikua hatakati kama hivi!! Kumbe kazi anaziweza??. Kweli utamu wa pipi mate yako.
 
Bugando ni mali ya serekali au unajitekenya na kucheka mwenyewe.Isitoshe serekali inatoa ruzku kwa hospital zote za mashirika ya dini kwakuwa wanatoa huduma kwa watanzania wote bila kuangalia dini zao.

Kcmc niya serikali naomba kufahamu
 
Anafanyakazi za mawaziri siku mawaziri wakiteuliwa hili songombingo utalisikia waziri wa afya akilitolea ufafanuzi mzuriiiiiiiii.

Huyu ombeni sefue mbona kawa kiungo mzuri siku hizi. Wakati wa JK alikua hatakati kama hivi!! Kumbe kazi anaziweza??. Kweli utamu wa pipi mate yako.
 
Huyu ombeni sefue mbona kawa kiungo mzuri siku hizi. Wakati wa JK alikua hatakati kama hivi!! Kumbe kazi anaziweza??. Kweli utamu wa pipi mate yako.

Halafu eti watu 2 tu wanapsh mambo yanaenda bila mawaziri
 
Hapo Chadema ni raha tupu sababu hayo anayofanya ndo yamo kwenye ilani ya Ukawa na tumeyapigania sana kwenye katiba ya Warioba na kwenye Binge la kumi.

Hapo ndugu yangu CCM mnajishauwa tu lakini ukweli namba mnaisoma wenyewe maana Magufuli anaimba kama CCM na kucheza kama UKAWA/CHADEMA.Mambo ya dill hamna tena.CCM hata nyumba ndogo inabidi wapunguze. Kama demu ulikuwa hujahongwa Gari ndo basis tena.

Lengo la Ukawa ni kuona wananchi wananufaika na lasilimali zao.Akipatikana MTU wa kutekeleza malengo ya Ukawa kuna shida gani?

Tunataka na wale wa escrow has a waliochukulia pesa stanbic bank waisome namba.

Ukawa haijawahi kuwa na ilani mwaka wa 2015...mliishia kucopy na kupaste ilani ya ACT.
 
Wewe utakuwa ni CHAGGA la kutupwa! Mikoa yote ukiondoa manyumbu ya Kilimanjaro, Arusha, Pemba na Dar....wameshiriki kumweka TINGA TINGA madarakani........ Hii ndiyo CCM chama cha KITAIFA!

Gashinaga nduhu gete amasala nyanda ebe, mie msukuma nasukuma kwelikweli, ngosha tangu kampeni anasema hii ni serikali ya magufuli, kwa msisitizo akawa anatumia lugha yetu ya nyumbani, kwa msisitizo zaidi hata kampeni hakufungia dar ambako ndo kalipo kaofisi kenu ka fitna lumumba akaja kufungia home ambapo ndo urais ulipatikana. Bakini na ccm yenu serikali ya magufuli ni kazi tu
 
Ombeni JK alimtoa wapi yaani jamaa mbili tu ukawa wamepoteana, siku ya kukabidhi uje tukuchezee na ngoma ya kisukuma ya bujora.

Wale jamaa acha wazunguke na mawazo wao ila wasituletee kipindupindu manake hawakawii kushusha mzigo.

Umenifurahisha sana mkuu, eeeeh bwana watu tunataka comment za aina hii.
 
KCMC inahudumia watu wa kaskazini walimpatia kura kiduchu.halfu usisahau Bugando ni Catholic na KCMC ni Lutheran anakotoka Lowassa mbona wataisoma namba waprotestant haaa haaa.

Dah..commemt za namna hii zinaonyesha ufinyu wa Mawazo. Nenda basi bugando uwaambie wewe ni Catholic uone kama utatibiwa bure. Hospital zipo kwa ajili ya Watanzania regardless of their spiritual standpoint.
 
CCM hii siyo Mchezo! PIGA KAZI BABA MAGUFULI TUPO PAMOJA! usisahau ahadi yako ya kuyaondoa makapi na wahujumu waliobaki kwenye vitengo nyeti mbali mbali vya serikali ili tupite katika kipindi hichi cha mpito haraka iwezekanavyo...Tunawajua kwa majina, asili yao, na kwa matendo yao waliyoyafanya.... Uliza au tumia watu safi ndani ya system utawajua....
 
ccm hamna chenu, hii ni serikali ya Magufuli. Wasukuma ndo tumemuweka magu kwenye kiti na ndo maana amefuta safari za maccm nje ili kaleta MRI bugando ili bangosha tubate tiba safi

Mzee naona unajitune mwenyewe nini! kwa mbali umeanza kuhamia CCM, usiogope we ingia hodi yanini kiongozi
 
Bugando ni mali ya serekali au unajitekenya na kucheka mwenyewe.Isitoshe serekali inatoa ruzku kwa hospital zote za mashirika ya dini kwakuwa wanatoa huduma kwa watanzania wote bila kuangalia dini zao.

Bora kukaa kimya kama hujui jambo! Kutoa ruzuku kwa "kila hospitali kunafanya" Bugando kuwa hospitali ya Serikali?

Katibu Mkuu Kiongozi Bw.Ombeni Sefue amesema Serikali imeagiaza mashine ya mpya MRI kwa ajili ya hospitali ya Bugando, Mwanza na pia CT SCAN nyingine mpya kwa ajili ya Hospitali ya Muhimbili!

Pili, umuhimu wa kuchagua CT Scan over MRI ni upi au unadhani zote zinafanya kazi sawa!?
 
Back
Top Bottom