Budget ya Ofisi ya Rais Ndio Chanzo cha Serious Problems in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Budget ya Ofisi ya Rais Ndio Chanzo cha Serious Problems in Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Mar 3, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Tunaona kila mahali Kikwete anapenda kwenda na kuhudhuria. Kinachoshangaza ni kiasi gani Wizara ya Fedha inampa Kikwete every fisco year funds za kuleta umaskini Tanzania? Tunajua gharama za kuendesha ndege kwa kikosi cha Kikwete duniani ni milions of dollars. Amejifunza chochote katika hizo nchi? Tunajua deals kama Downs ndipo zilipo zaliwa.
  1. Per trip in relation to mirage/hourly 5-6gallon (old estimates)
  2. Airport charges $25million per slot (old estimates)
  3. Cost of paying employees and his teams $8,000 per day
  4. Hotels and security at foreign lands at least $5,000 per day

  Planes ‘fly empty’ to keep slots at Heathrow -Times Online

  Swali ni kwamba Taifa linafaidika nini na tutamwondoa lini JK?​
   
 2. M

  MLEKWA Senior Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SIKU KIKWETE AKIWA AEMONDOKA MADARAKANI KWA SALAMA NITAMPTIA TICKET YA KWENDA JAMAICA KWNAI BAJET YA IKULU ITAKUA HAIPO NITAJITAHIDI KIMSHAHARA CHANGU NIMSAIDIE jk AKAPANDE MABEMBEA KULE JAMAIKA NA MAMA SALMA, NINEGOWAOMBA WANA JAMII KUANZA KUPIGISHA MCHANGO WA KUMUGA JK ATUACHIE NCHI KWA SALAMA IKIFIKA MIAKA NINNE JK AKABIZIWE KILE KITITA CHA KWENDA KUPUMZIKA ZIARA YA DUNIA HADI SAIGON VIETNAM, NA PATAYA BEACH THAILAND NA KUMALIZIA MJI WA SALALA ,OMAN KUONANA NA MSHKAJI MMILIKI WA DOWANS KUMUOMBA MSAMAHA KUWA ILE DILI HAIKUENDA KAMA TULIVYOIPANGA NA BAADAE ARUDI BAGAMOYO KAMA ALIVYORUDI MWALIMU KULE BUTIAMA.
   
 3. M

  Matarese JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kuna mdau aliweka hapa data alizokusanya toka kwenye vitabu vya bajeti kuwa Ofisi ya Rais na Bunge pekee kwa mwaka wanatumia kwa wastani TZS Bilioni 148! kwa kulipana allowances kama za vikao na safari, yaani ni zaidi ya pesa tunayopaswa kuilipa Dowans. Na kwamba jumla ya matumizi yote serikalini kwa ajili ya vikao na allowances ni Bil 385 per fiancial year, yaani ni kama Dowans nne zinatumika kwa ajili ya allowances tu! Tanzania ni zaidi ya tunavyofahamu. We have a long way to go.
   
 4. n

  niweze JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunajua Kikwete anapenda kuficha bajeti yake na matumizi ya serikali. Hii sio tatizo, tunaanza kufuatilia matumizi yote kwa vitendo vyake na kuripoti kwa wananchi Tanzania ili wajue jinsi gani tuharakishe kumfukuza.

  "Un-displine people always create a mess for others"
   
 5. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  By the way very stingy budget in soft drinks and bites, only $63 billion
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tunataka data ama sivyo tutaanza kusema wanatuibia!
   
Loading...