Budget ya Kenya ni kubwa kuliko ya Nigeria (2019-2020)

Usikate tamaa mkuu, what tz needs is (opposition parties to merge) and form a Grand Coalition kama ile ya NARC, fukuza CCM kama KANU 😂
Kwanza hatuna Katiba Mpya kama yenu ambayo ni transformative!

Tuna katiba ya kipumbavu sana aliyotuachia mkoloni,just imagine!

Hatuna tume ya uchaguzi huru kama ilivyo IEBC!Tume yetu anaichagua rais kwa mikono yake halafu anasema ole wenu mumtangaze opposition leader kua ni mshindi,just imagine!

Hatuna tume huru ya mahakama kama yenu...Huku kwetu rais anachagua majaji kwa mikono yake,na anasema jaji lazima atoe hukumu kinyume na wishes zake aone,just imagine that!

Hakuna bunge huru kama lenu,letu linawajibika kwa rais,akisema nyamaza,wananyamaza wote,just imagine!

Tupo kifungoni aisee hatuna pa kwenda...nataka nikate tiketi niende Syria nikapumzike!
 
Usikate tamaa, Kama umefunguka macho basi wengine pia wamefunguka so it is just a matter of time before real change takes place.
 
I remember most Kenyans that new politics in Tz supported Lowassa atleast kue na change Tz na they feel how we felt when we ousted Kanu out of power, imagine what happened next
 
Kwanza hatuna Katiba Mpya kama yenu ambayo ni transformative!

Tuna katiba ya kipumbavu sana aliyotuachia mkoloni,just imagine!

Hatuna tume ya uchaguzi huru kama ilivyo IEBC!Tume yetu anaichagua rais kwa mikono yake halafu anasema ole wenu mumtangaze opposition leader kua ni mshindi,just imagine!

Hatuna tume huru ya mahakama kama yenu...Huku kwetu rais anachagua majaji kwa mikono yake,na anasema jaji lazima atoe hukumu kinyume na wishes zake aone,just imagine that!

Hakuna bunge huru kama lenu,letu linawajibika kwa rais,akisema nyamaza,wananyamaza wote,just imagine!

Tupo kifungoni aisee hatuna pa kwenda...nataka nikate tiketi niende Syria nikapumzike!

Ahaaa haaa haaa
sa exposure nako ni ugonjwa. For sure you view Kenya as our benchmark? Do you know how rotten is Kenya?
 
Hahahahaaaa

Wote tumeoza,ila sisi tumeoza zaidi!

Tanzania ndio benchmark?Bwahahaaaa

Heri tuwaige yote waliyotupita....nothing wrong with that!

Au wewe bado upo kwenye denial?...

Wewe unakua wa pili darasani,unakataa hakuna wa kwanza....such a desease aisee!
 
Yaani kujifanisha na Kenya mfu ndo shida inapoanzia. Na hapo ndiyo ninapoanza kukutilia shaka kuwa are you really patriotic or just mchumia tumbo. Ingekuwa serious ungetaja NCHI kama Botswana, Namibia na kidogo Angola.
 
Patriotic to who?CCM?

Fvck outta here!

Patriotism inayofanya niseme uongo?Inayofanya nimchukie alienipita?

Inayonifanya nimchukue mwanadamu mwingine sababu tu kazaliwa kipande cha ardhi tofauti na changu?

Hahaha! :D Watakuambia kwamba wewe sio mzalendo. Cha kushangaza zaidi ni kwamba hawa watu wanaamini kwamba wakenya wana chuki dhidi yao. Eti Kenya inawahujumu kwenye kila suala. Hizi paranoia ndio zinawamaliza. Kenya sasa hivi tunapambana na hali yetu. Kutoka kwa wananchi hadi kwa wanasheria hutasikia yeyote akiitaja Tz. Kwenye media za Kenya hata mwezi utapita kabla ya Tz kutajwa. Watanzania ambao wapo Kenya wanaishi bila ya kubaguliwa au kudhulumiwa na yeyote yule.
 
mbona ipo hivyo muda tu ni kama vile uchumi wa lagos ulivyo mkubwa kuliko wa Kenya kama nchi.
Na hiyo Lagos yako iliyo na uchumi mkubwa mbona haikaliki maisha ni mbovu waNigeria wengi wanakimbilia Kenya kuishi?
Hahaha! :D Watakuambia kwamba wewe sio mzalendo. Cha kushangaza zaidi ni kwamba hawa watu wanaamini kwamba wakenya wana chuki dhidi yao. Eti Kenya inawahujumu kwenye kila suala. Hizi paranoia ndio zinawamaliza. Kenya sasa hivi tunapambana na hali yetu. Kutoka kwa wananchi hadi kwa wanasheria hutasikia yeyote akiitaja Tz. Kwenye media za Kenya hata mwezi utapita kabla ya Tz kutajwa. Watanzania ambao wapo Kenya wanaishi bila ya kubaguliwa au kudhulumiwa na yeyote yule.
Hii bajeti ya Nigeria imepitwa na Kenya ndio hufanya nione kwamba hiyo GDP yao kubwa ya Nigeria is cooked .Either hivyo ama they're lazy and ill equipped in tax collections.
 
toka mmumepata katiba mpya imekusaidia nini na ufisadi hapo kenya!
Ugatuzi umeleta maendeleo mashinani yani sihitaji kuwa Nairobi kufurahia matunda ya maendeleo ama kuzipata huduma za Serikali. You're hayo ninayapata kwa County yangu kinyume na hapo awali ilipokuwa inanibidi kusafiri Hadi mji mkuu kupokea huduma ambazo kwa Sasa ni za kawaida mno.

Next question please.
 
Patriotic to who?CCM?

Fvck outta here!

Patriotism inayofanya niseme uongo?Inayofanya nimchukie alienipita?

Inayonifanya nimchukue mwanadamu mwingine sababu tu kazaliwa kipande cha ardhi tofauti na changu?

Fvck outta here!

Punguza povu with your narrow mind.
you are patriotic to toilet CORRUPT country Kenya.
Huwezi kuilinganisha rotten corrupt country Kenya with Tanzania.
 
Back
Top Bottom