Budget:5 ministries to get Sh3.8 trillion

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
Budget:5 ministries to get Sh3.8 trillion

By Polycarp Machira
THE CITIZEN

Five priority sectors will get over half of the Sh7.2 trillion total budget in the next financial year.

Education, infrastructure, health, agriculture and energy and minerals, will claim 52.6 per cent of the budget, in what Parliamentary Finance and Economic Affairs committee chairman Abdallah Kigoda described as a continuity budget.
Cumulatively, the five sectors will be allocated with Sh3.797 trillion.

Presenting a pre-budget summary to the parliamentary committee, Finance and Economic Affairs minister Mustafa Mkulo revealed that the education sector would continue topping the list for the second year in a row.

It will get Sh1.22 trillion (17 per cent of the total budget), against the Sh1.09 trillion it received in the current budget, which was equivalent to 18 per cent of last year's budget.

Infrastructure development has been allocated 13 per cent of this year's total budget, being Sh971.9bn; up from Sh777.2bn. This was also 13 per cent of the last budget.

Health sector will receive Sh784.5bn, an 11 per cent of the total budget, up from Sh.589.9bn or ten per cent of last year's budget.

While maintaining its six per cent slot of the budget, the agricultural sector will receive Sh438.1bn for this year against Sh379bn allocated for the sector in the last budget, gaining from the big base of the next year�s budget.

But Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) expressed its concern, saying the sector was not getting the attention it deserves.

Mr Isaac Dallush, TCCIA vice president (Agriculture). described the Sh69.1 billion increment to the agricultural sector in this year's budget as inadequate given the fact that the sector still needs a lot of reform.

He said there is need to improve irrigational infrastructure and also improved mechanised farming as farmers still rely on traditional tool to produce crops.

Said he: We have all along been discussing the budget issue with the minister but he said the Sh2.5 trillion budget allocation for agriculture sector will be reached within a span of five years.

In addition, Mr Dallush said the Government should fully support the private sector to develop agricultural activities in the country.

According to this year's budget breakdown energy and minerals sector will still get five per cent of the budget. It will get Sh382.9bn compared to Sh354bn it received last year.

Although government spending is set to go up by over Sh1 trillion compared to Sh6.1 trillion in the current fiscal year, donor dependency is set to down significantly.

Of the Sh7.2 trillion budget, Sh4.786 trillion will come from domestic sources. Mr Mkulo said Sh4.728 trillion would come be from internal funding. Sale of its 21 per cent shares in NMB will raise another Sh58bn, with the remaining Sh2.43 trillion will come from foreign sources.

Current expenditure will account for Sh4.728 trillion while the remaining Sh1.945 trillion will be directed to development projects.

In total developmental expenses will be Sh2.489 trillion, of which Sh1.551 trillion is donor funding through the project and basket funds. The remaining Sh938.38 billion will be donor funding through the budget support.

Other sectors have recorded a two per cent increase from 42 to 44 per cent of this year's budget, being Sh3.2 trillion against the Sh2.571 trillion allocated for the sector last year.

Mr Mkulo also said the Government has reduced budget allocation for water sector from five per cent last year to three per this year, a 40 per cent decrease. Thus the sector will get Sh217.9 billion compared to Sh309.1 it received this year.

Said he: Budget allocation for water sector for this year is less compared to that of 2007/2008 due to completion of Shinyanga and Kahama water projects, causing a Sh35bn relief in local funding, among others.

Generally, the economy grew by 7.1 per cent in 2007 year, a ride from the previous year's 6.7 per cent performance. It however fell slightly short of 7.3 per cent anticipated by the Government for the same year.

Briefing journalists on the just read pre budget review, Dr Kigoda, the Finance and Economic Affairs committee chairman, said this year's budget is good as it has maintained the top priorities of the last budget.

He however said the agricultural sector ought to have been given at least eight or nine per cent of the 2008/2009. He said the committee would ensue that the budget should be diagnostic to face the current problems including inflation.

According to the budget for 2008/2009 the current expenditure, allocated Sh4.726 trillion, will be subdivided as follows; National debt (Sh648.3m), ministries (Sh2.5 trillion), regions (Sh85.7bn), councils (Sh908.8bn), special expenses (Sh364.4bn) and government salary review (Sh241.4bn).

Developmental expenditure, with a slot of Sh2.5 trillion which encompasses Sh938.4bn from domestic sources and Sh1.6 trillion from donor support.

The minister told the parliamentarians that the 2008/2009 budget has come when the world is faced with serious inflation caused by increased price of petrol and increased use of crops for industrial purposes.

He said the trend is likely to negatively affect economies of developing countries though countries that produce basic goods into the global market may still benefit from increased price following more demand from countries like China, India and Brazil.

He added that the situation has clearly indicated the dire need to strengthen exportation of goods and services to other countries.

The main challenge facing the government, according to the minister, is the unpredictable donor funding, calling for serious steps to reduce basic expenses, more so those that cannot be interfered with in case donors withdraw their support.

In effect, the Government has planned to reduce budget dependence from 41 per cent in 2007/2008 budget to 37 per cent in the 2009/2010 fiscal year, and the basic expenses will be covered will be funded by internal funding as from the next fiscal year.

The government, according to Mkulo plans to control inflation by improving monetary mass, improve discussion with various stakeholders for improved money policy.

He said implementation and maintenance of the plan would be pegged on availability of goods whose prize increase fast, affecting lives of many people or ban importation of such goods into the country or reduce taxes on such goods when imported.

The Government is also determined to increase local production of food crops by giving subsidies in terms of fertilizers and quality seeds to farmers.

We have learnt from this experience, the Government has plans to provide farmers with fertilizer at least twice a year, it has centers for farmers to obtain quality seeds and have imported tractors to help ease farming, said Mkulo.
 
nmesoma mahala kuwa ufadhili wa nje wa budget hiyo umepungua kwa asilimia kadhaa...while de budget kwa ujumla imeongeza kwa bilioni kadhaaa wat it came to my mind quickly kuwa ni wananchi wa hali ya kati na ya chini watanyongwa mnoooo budget hii
 
Kinachonisikitisha ni kuwa bado wimbo ni ulele: Miundo mbinu, elimu, afya, kilimo: Lakini mbona hatuoni mabadiliko hata kama ndo sekta zinazopewa 'fedha nyingi' zaidi kwenye bajeti?
 
Kinachonisikitisha ni kuwa bado wimbo ni ulele: Miundo mbinu, elimu, afya, kilimo: Lakini mbona hatuoni mabadiliko hata kama ndo sekta zinazopewa 'fedha nyingi' zaidi kwenye bajeti?

It is all about thinking BIG!

Huge budget allocation on those key sectors started 1 year ago... and hence the implementation of some of the projects are on progress... expecting a road to be surveyed, designed and constructed in 0ne year... ni kama kuota ndoto za alinacha... kindly reserve your question and ask it by 2010.

Also note the statement/comment by Hon. Dr. Kigoda that it is a better to continue allocating big budget in those sectors for some years if after all we need to see clear changes.

Thanks
Kasheshe
 
who told you that the consideration for allocation of such badget for those sectors began just one year ago?? it was like this since Fisadi Mkapa time and then keep on at this moment of Kisura.

Keep on lying over taxer payers and misusses our money is the big problem, the money allocated on those sectors every year are not used as expected, Mafisadi uses those money for their own purpose, just remind yourself, the budget allocated last year for infrastructure and what have been done until now!!!

My friend BabaH; pole sana... the higher % allocation started with Kikwete... I'm sorry to let you know that!!!! same to higher % of budget allocation to education... go back and research this my brother...

The fact that it is free to write and speak doesn't not justify that you have to write madudu!
 
..kasheshe,

..kiasi gani katika hiyo bajeti kimeenda katika miradi ya maendeleo?

..inaweza ikawa kubwa,lakini kwasababu ya matumizi makubwa.

..hebu tujue.
 
It may be you do not understand what your talking, Kasheshe
am not writing as some people use to do, am realying on the trust
Did you remember whem MMEM was established and how much % of budget increased in Education as a result of this initiative? Is this was during Mjasiliamali wa Ikulu or Kisura

For more information on when and what goverment say on increasing budget in Eduaction refer here: [media]http://www.parliament.go.tz/bunge/Docs/MP_Seminar/SERA%20ELIMU%20NA%20MAFUNZO.pdf[/media]

BabaH;

Your post has just showed that you were not keen in your post!!!... when we speak about education we mean "all levels" you are right about MMEM... but I still asure you that in terms of %wise of the total budget the GoT has never allocated higher % than during 4th phase Government... go back and study ... my dear BabaH.

The other aspect you guys you are always missing is the issue of comparing orange with mango... i would have not spoken it if you were at least compare orange and lemon.

Here you have a president who stayed in office for 10years and you compare with one of 2.5Years... you really need to be serious on this....
 
It is all about thinking BIG!

Huge budget allocation on those key sectors started 1 year ago... and hence the implementation of some of the projects are on progress... expecting a road to be surveyed, designed and constructed in 0ne year... ni kama kuota ndoto za alinacha... kindly reserve your question and ask it by 2010.

Also note the statement/comment by Hon. Dr. Kigoda that it is a better to continue allocating big budget in those sectors for some years if after all we need to see clear changes.

Thanks
Kasheshe

By the way, barabara ya Sam Nujoma iliyoanzwa kujenga mwishoni mwa 2005 imeshakamilika?
 
..kasheshe,

..kiasi gani katika hiyo bajeti kimeenda katika miradi ya maendeleo?

..inaweza ikawa kubwa,lakini kwasababu ya matumizi makubwa.

..hebu tujue.

Again answer to your question is not that straight; unajua waTanzania wanakawaida ya kujibu Maswali magumu kwa majibu Rahisi:


Kwa sasa naomba niweke data za budget nzima!

Anyway let me quote the original post

Current expenditure will account for Sh4.728 trillion while the remaining Sh1.945 trillion will be directed to development projects.

In total developmental expenses will be Sh2.489 trillion, of which Sh1.551 trillion is donor funding through the project and basket funds. The remaining Sh938.38 billion will be donor funding through the budget support.

Therefore Percentage of Development Budget to Total Budget = [2.489/(4.728 + 2.489) ] x 100 = 34%

Si haba

It should be understood that mafanikio haya ni accumulated effort za Marais wa Nyuma... kodi ninayokatwa na unayokatwa... (ignoring the contribution ya wabeba mabox ulaya na Amerika)

Note: Sina data za Elimu... but kuna uwezekano wa kupanda of-course current expenditure kwa sababu mbalimbali zikiwemo kuongeza posho ya wanafunzi kutoka.. kuwa 10,000Tshs. per day. issue nyingine... more university, more schools. implies increase in current expenditure... so please note these wakati mukisoma hayo makabrasha.
 
Kinachonisikitisha ni kuwa bado wimbo ni ulele: Miundo mbinu, elimu, afya, kilimo: Lakini mbona hatuoni mabadiliko hata kama ndo sekta zinazopewa 'fedha nyingi' zaidi kwenye bajeti?

Naam, kuna haja ya kuona mabadiliko makubwa katika elimu. Kuwe na Walimu wanaostahili kuwa walimu, siyo wanazolewa tu mtaani failures wa O'level na A'level na kulundikwa mashuleni kama walimu, tunataka kuona wanafunzi wanasomea ndani ya madarasa yenye hadhi ya kuitwa madarasa na shule zenye vyoo vya kutosha, tunataka kuona shule zina vitabu na vifaa vingine muhimu kwa mashule hayo, tunataka kuona wanafunzi wanapatiwa madawati badala ya kukalia matofali au kukaa chini.

Kwenye kilimo tunataka kuona kunakuwa na mabadiliko ya kweli kutoka kwenye vishamba vidogo na jembe la mkono. Serikali inaweza kununua vifaa muhimu vya kilimo kama vile matrekta na kuwa na kitengo cha kukodisha vifaa hivyo wa wakulima na kuruhusiwa kulipa kidogo kidogo ili kuongeza uzalishaji wao katika mazao ya chakula na biashara.

Mahospitalini tunataka kuwe na vitanda, madawa na vifaa muhimu katika mahospitali hayo ambavyo vingi vina uchakavu mkubwa au havipo kabisa. Hili la wagonjwa kulala chini au kushare kitanda kimoja kwa wagonjwa hadi saba hata akina mama waliojifungua ni aibu ya hali ya juu kwa sirikali inayokusanya mapato ya shilingi bilioni tatu kila mwezi.

Kwenye miundo mbinu tuone upatikanaji wa maji safi unaongezeka mijini na vijijini na pia tunakuwa na barabara za maana na kuaminika hata wakati wa masika. Mimi namini kabisa haya tote yanaweza kufanyika ikiwa irikali itapunguza matumizi yako yasiyo muhimu kwa asilimia 50 au zaidi na pia kupambana na mafisadi na kurudisha mapesa yote waliyoiba hazina na pia kuwafilisi na kuwafungulia mashtaka. Yes, it can be done. Vinginevyo kuongeza bajeti za wizara hizo itakuwa ni usanii tu.
 
Inaelekea kubisha ni kawaida yako na siwezi kubishana na wewe
Huo ni mfano wa mambo niliyokuwa nakueleza, ila kwa sababu hujui kutumia reference siwezi kukusaidia Kasheshe!!

Rais kukaa madarakani miaka miwili 2.5 sio sababu hiyo hata kidogo, tunaangalia allocation ya budget na mafanikio yake, angalia barabara ya ktoka dodoma kwenda singida imeanza kujengwa lini na iko wapi sasa hivi?? haya umeulizwa mwenge Ubungo 3.99 kilometre for 3 years will low standard??

Fanya study kidogo ya allocation ya budget na mafanikio ya hizo pesa, then unaweza kuargue, lakini kama unaongea kwa ajili ya kumtetea kisura bila kuangalia pesa za walipa kodi kama zinatumika inavyotakiwa hapo sawa

Well... kuna jambo rahisi sana kawaida mshabiki wa Mpira anaweza funga magoli mengi sana... zaidi ya Mchezaji superstar wa Premier League ya Uingereza na yote unayosema yanaelekea huko huko...

Munajadili mambo in pieces sana... to the extent.. kwamba mnapotosha watu sana...!!!

Kaulize vizuri Tenda ya hizo barabara zilitolewa wakati gani? then come back na tuletee mifano yako... hapa... na issue ya kumpa kampuni kujenga barabara sio sawa na kumpa tenda mtu kukujengea kipanda akikosea unafukuza hapo hapo... Tuwe makini kidogo tusirukie kila jambo kwa kuwa tuna haki ya kuongea tu....

Complexity za yule contractor zinafahamika... na hatua zilizochukuliwa kuhusu contractor zinafahamika.

Pili ni muhimu kujua kwamba hizi ni implementations issues ambazo ziko chini ya TANROADS... haziko chini ya Rais....

Huu ugonjwa wa kutojua wa kulamiwa nani kwenye issue gani... unatakiwa ufike mahali uishe...
 
Inaelekea kubisha ni kawaida yako na siwezi kubishana na wewe
Huo ni mfano wa mambo niliyokuwa nakueleza, ila kwa sababu hujui kutumia reference siwezi kukusaidia Kasheshe!!

Rais kukaa madarakani miaka miwili 2.5 sio sababu hiyo hata kidogo, tunaangalia allocation ya budget na mafanikio yake, angalia barabara ya ktoka dodoma kwenda singida imeanza kujengwa lini na iko wapi sasa hivi?? haya umeulizwa mwenge Ubungo 3.99 kilometre for 3 years will low standard??

Fanya study kidogo ya allocation ya budget na mafanikio ya hizo pesa, then unaweza kuargue, lakini kama unaongea kwa ajili ya kumtetea kisura bila kuangalia pesa za walipa kodi kama zinatumika inavyotakiwa hapo sawa

Always the buck stop on President's desk. Hawa akina Tan Roads na akina nani sijui kuwapa lawama ni kupoteza lengo tu. Kama Rais hana watendaji wazuri katika kusimamia miradi mbali mbali, na hili siyo siri maana kishafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri mara tano katika miaka miwili ya kwanza aliyokuwa madarakani, basi wa kubebeshwa lawama za utendaji finyu ni Rais maana yeye ndio anayewateua watendaji hao.
 
Always the buck stop on President's desk. Hawa akina Tan Roads na akina nani sijui kuwapa lawama ni kupoteza lengo tu. Kama Rais hana watendaji wazuri katika kusimamia miradi mbali mbali, na hili siyo siri maana kishafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri mara tano, basi wa kubebeshwa lawama za utendaji finyu ni Rais maana yeye ndio anayewateua watendaji hao.

Amin hivyo, kwa kuwa hakuna Rais aliwahi kuaminiwa, kupendwa na raia wake wote... unachosema ni changamato kwake na serikali yake na chama chake...


Lakini barabara ya 4km ni asilimia ndogo sana ya idadi ya km za barabara ambazo wakandarasi wako kazini sasa.

Kwa hiyo unaweza kumu-fool yule tu anayefikiri taifa la Tanzania maana yake ni Dar es Salaam/Mzizima.

Lakini kama taifa hili ni zaidi ya Mzizima, kwa maana Mtwara, Songea, Sumbawanga, Shinyanga, Senkeke, Kigoma, Rombo na n.k... watakuona huna dira tu...
 
Why does Nishati na Madini need to have a huge allocation of funds than let say TAMISEMI?

What is so important that Wizara ya Madini na Nishati is doing? If everything about Madini na Nishati are done by foreign companies, why would Wizara which is simplhy a regulator need all that Money?

If we disolved Stamico, which had most geologist to study our country minerals and we still have TPDC which takes care of Nishati and Tanesco which is almost going to run free of Serikali, I still do not understand why Wizara ya madini is being given a high priority over TAMISEMI or Wizara ya Kazi for that case!

Hivi priorities zetu ni wapi na nini?
 
Why does Nishati na Madini need to have a huge allocation of funds than let say TAMISEMI?

What is so important that Wizara ya Madini na Nishati is doing? If everything about Madini na Nishati are done by foreign companies, why would Wizara which is simplhy a regulator need all that Money?

If we disolved Stamico, which had most geologist to study our country minerals and we still have TPDC which takes care of Nishati and Tanesco which is almost going to run free of Serikali, I still do not understand why Wizara ya madini is being given a high priority over TAMISEMI or Wizara ya Kazi for that case!

Hivi priorities zetu ni wapi na nini?

Rev. Kishoka,

Ukizama vizuri kwenye hiyo budget baadaye... utakuta hutaona kitu kinachoitwa TAMISEMI wakati wakizungumzia budget allocation in terms of sector.

Ngoja nikupe shule kidogo....

Kuna Sector ya Kilimo, Elimu, miundo mbinu etc... TAMISEMI sio sector ya Uchumi wa nchi... mambo ya Utawala... tu.

Kwa maana nyingine budget ya Elimu... ina fedha za Tamisemi ndani yake... Budget ya Kilimo ina fedha za TAMISEMI ndani yake... Budget ya Maji ina Fedha za Tamisemi ndani yake.

Kupata majibu kamili ya unachoulizia subiria budget itakapotoka yote... uulizie mgawanyo wa Budget kwa Wizara... Then utapaja jibu lako kama lilivyo kwamba TAMISEMI itakuwa na Fedha nyingi sana kuliko wizara nyingine yoyote ile... ikiwa pamoja na Wizara ya Miundo Mbinu... achilia mbali wizara ya Nishati na Madini!

Kwa kifupi... kuna tofauti ya mgawanyo wa budget kwa Sector... na Mgawanyo wa Budget kwa Wizara. Tusi-mix hivyo vitu viwili...

NB: Siku budget ya wizara ya kilimo ikisomwa utadhani wamepewa fedha ndogo sana... kumbe fedha nyingi za kilimo... zingine huenda halimashauri moja kwa moja... yaani TAMISEMI.
 
Back
Top Bottom