Birthday

Blessy

Member
Jan 5, 2011
14
0
Naomba nisaidieni wana JF Wenzngu, hivi zawadi nzuri kwa biRTHDAY ya mupenzi wngu iwe vp?na apewe wakati gani?
 
Ni mwanaume? mnunulie saa ao perfume ao kama ni bitozi mnunulie tie...
Kama ni mwanamke mnunulie saa ao perfume
Kama vipi we mnunulie vocha. so useful and handy!!!
Happy birthday
 
Kwa vyovyote utakuwa unajua ni vitu gani anapendelea zaidi kama uko karibu naye. Inategemea na uwezo wako, lakini jitahidi kupatia kitu ambacho yeye hupendelea zaidi kwa maana ya kukitamka tamka mara kwa mara!
 
Naomba nisaidieni wana JF Wenzngu.hv zawadi nzuri kwa biRTHDAY ya mupenzi wngu iwe vp?na apewe wakati gani?

nunua dafu tu kama kweli linatoka moyoni is more than anything...by the way hilo swali la Primary...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom