BSS ni utumbo mtupu

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
WASHIRIKI wa BSS juzi wafunika katika shindano hilo sambamba na mastaa wa muziki wa kizazi kipya baada ya kuimba pamoja.
Katika shoo hiyo washiriki nane waliokuwa wakichuana vikali ili kupata nafasi ya kuingia tano bora, waliweza kuonyesha vipaji vya hali ya juu baada ya kila mmoja aliyekuwa akiwakilisha nyimbo kuimba sambamba na msanii mwenye nyimbo yake.
Wasanii waliokuwepo na kuimba pamoja na washiriki hao wa BSS ni Patricia Hilaly aliyeimba sambamba na Mariam Mohamed wimbo ‘Mapenzi Yananitatiza’, Maunda Zorro aliyeimba na Chiby Dayo.
Wengine ni Banana Zorro na James Martine wimbo ‘Zoba’, Tunda Man aliyeimba na Joseph Payne wimbo ‘Nipe Ripoti’ na Mwassiti Almasi aliyeimba na Christabella Nzowa wimbo wa ‘Hao’ na Marlaw.
Katika shindano hilo Payne alitia fora hadi kuwaacha midomo wazi majaji kutokana na kuonyesha kwa hisia vitendo vya wimbo huo.
Payne alitinga jukwaani akiwa amevaa nguo za wafungwa huku mkononi akiwa amefungwa pingu alikuwa akiimba kwa hisia kali kama msanii Madee aliyeimba sambamba na TundaMan wimbo huo wa ‘Nipe Ripoti’ hivyo majaji kumtaka aongeze bidii katika fani.
 
WASHIRIKI wa BSS juzi wafunika katika shindano hilo sambamba na mastaa wa muziki wa kizazi kipya baada ya kuimba pamoja.
Katika shoo hiyo washiriki nane waliokuwa wakichuana vikali ili kupata nafasi ya kuingia tano bora, waliweza kuonyesha vipaji vya hali ya juu baada ya kila mmoja aliyekuwa akiwakilisha nyimbo kuimba sambamba na msanii mwenye nyimbo yake.
Wasanii waliokuwepo na kuimba pamoja na washiriki hao wa BSS ni Patricia Hilaly aliyeimba sambamba na Mariam Mohamed wimbo ‘Mapenzi Yananitatiza', Maunda Zorro aliyeimba na Chiby Dayo.
Wengine ni Banana Zorro na James Martine wimbo ‘Zoba', Tunda Man aliyeimba na Joseph Payne wimbo ‘Nipe Ripoti' na Mwassiti Almasi aliyeimba na Christabella Nzowa wimbo wa ‘Hao' na Marlaw.
Katika shindano hilo Payne alitia fora hadi kuwaacha midomo wazi majaji kutokana na kuonyesha kwa hisia vitendo vya wimbo huo.
Payne alitinga jukwaani akiwa amevaa nguo za wafungwa huku mkononi akiwa amefungwa pingu alikuwa akiimba kwa hisia kali kama msanii Madee aliyeimba sambamba na TundaMan wimbo huo wa ‘Nipe Ripoti' hivyo majaji kumtaka aongeze bidii katika fani.

si kwli hamna utumbo hapa mama Rita amejipanga sana kwenye haya mashindano ya mwaka huu
 
WASHIRIKI wa BSS juzi wafunika katika shindano hilo sambamba na mastaa wa muziki wa kizazi kipya baada ya kuimba pamoja.
Katika shoo hiyo washiriki nane waliokuwa wakichuana vikali ili kupata nafasi ya kuingia tano bora, waliweza kuonyesha vipaji vya hali ya juu baada ya kila mmoja aliyekuwa akiwakilisha nyimbo kuimba sambamba na msanii mwenye nyimbo yake.
Wasanii waliokuwepo na kuimba pamoja na washiriki hao wa BSS ni Patricia Hilaly aliyeimba sambamba na Mariam Mohamed wimbo Mapenzi Yananitatiza, Maunda Zorro aliyeimba na Chiby Dayo.
Wengine ni Banana Zorro na James Martine wimbo Zoba, Tunda Man aliyeimba na Joseph Payne wimbo Nipe Ripoti na Mwassiti Almasi aliyeimba na Christabella Nzowa wimbo wa Hao na Marlaw.
Katika shindano hilo Payne alitia fora hadi kuwaacha midomo wazi majaji kutokana na kuonyesha kwa hisia vitendo vya wimbo huo.
Payne alitinga jukwaani akiwa amevaa nguo za wafungwa huku mkononi akiwa amefungwa pingu alikuwa akiimba kwa hisia kali kama msanii Madee aliyeimba sambamba na TundaMan wimbo huo wa Nipe Ripoti hivyo majaji kumtaka aongeze bidii katika fani.
mkuu heading yako na maelezo haviendani kabisa. Heading inaponda, maelezo yanasifu. Mhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom