BSS ni utumbo mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BSS ni utumbo mtupu

Discussion in 'Entertainment' started by AMARIDONG, Dec 14, 2010.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  WASHIRIKI wa BSS juzi wafunika katika shindano hilo sambamba na mastaa wa muziki wa kizazi kipya baada ya kuimba pamoja.
  Katika shoo hiyo washiriki nane waliokuwa wakichuana vikali ili kupata nafasi ya kuingia tano bora, waliweza kuonyesha vipaji vya hali ya juu baada ya kila mmoja aliyekuwa akiwakilisha nyimbo kuimba sambamba na msanii mwenye nyimbo yake.
  Wasanii waliokuwepo na kuimba pamoja na washiriki hao wa BSS ni Patricia Hilaly aliyeimba sambamba na Mariam Mohamed wimbo ‘Mapenzi Yananitatiza’, Maunda Zorro aliyeimba na Chiby Dayo.
  Wengine ni Banana Zorro na James Martine wimbo ‘Zoba’, Tunda Man aliyeimba na Joseph Payne wimbo ‘Nipe Ripoti’ na Mwassiti Almasi aliyeimba na Christabella Nzowa wimbo wa ‘Hao’ na Marlaw.
  Katika shindano hilo Payne alitia fora hadi kuwaacha midomo wazi majaji kutokana na kuonyesha kwa hisia vitendo vya wimbo huo.
  Payne alitinga jukwaani akiwa amevaa nguo za wafungwa huku mkononi akiwa amefungwa pingu alikuwa akiimba kwa hisia kali kama msanii Madee aliyeimba sambamba na TundaMan wimbo huo wa ‘Nipe Ripoti’ hivyo majaji kumtaka aongeze bidii katika fani.
   
 2. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utumbo upo huu ni upi wa kufunika
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Does haya matumbo build bongo za vijana wetu!
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  si kwli hamna utumbo hapa mama Rita amejipanga sana kwenye haya mashindano ya mwaka huu
   
 5. B

  BA-MUSHKA Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikili hiyo headline yako ulitaka tusome ulichoandika, hakuna utumbo hapo.
   
 6. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mkuu heading yako na maelezo haviendani kabisa. Heading inaponda, maelezo yanasifu. Mhh
   
 7. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Perhaps it's a new marketing strategy!
   
 8. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  may be
   
Loading...