BSS Majaji wanatukana na wameapa na kumpitisha mariamu

mkibunga

Senior Member
Nov 17, 2010
196
25
mambo ni hovyo kabisa hawa wasichana rita ,salama na miss j wameonekana ni wajinga kabisa na mashindano yameharibika kabisa hayana maana kabisa
 
japo umeweka thread jukwaa silo kwa leo tunapotezea......lakini hata mimi nimekwazika....huyu master jay hovyo sana....pumbaf.....anasema watanzania ni washamba wanashangaa mzungu kuimba kiswahili.....hili jamaa hovyo kweli
 
preta nimekosa pakuweka thread hii ila bss ya mwaka huu imebore mno hawa jamaa wamekuwa kama wandaaji wa miss tanzania majaji wanapanga nani mshindi sasa nini maaana ya sisi kupiga kura zetu
 
japo umeweka thread jukwaa silo kwa leo tunapotezea......lakini hata mimi nimekwazika....huyu master jay hovyo sana....pumbaf.....anasema watanzania ni washamba wanashangaa mzungu kuimba kiswahili.....hili jamaa hovyo kweli

Kweli umekasirika hadi umetumia hilo neno kuonyesha msisitizo.
angalia wasije wakaku ban
 
don't be cheated hao majaji nimewafuatilia kwa karibu hii ni kama 'match fixing'wanajidai kumponda mzungu ili mwishoni tusiseme kuwa walikuwa wanmpenda na kuwa ndiye wanataka awe mshindi na mamaa wa kujisheghebenua! Tunasema bado ni kosa mtu asiye na kibali cha kufanya hapa kazi ya usanii ya kulipwa kuingia katika mashindano haya. Wao wamepanga wasiwapotoshe mkadhani hawampendi huyo mzungu wait and see and mark my words!
 
Matusi nje nje! Na hii inashusha sana hadhi ya BSS. Huyu mzungu angeweza kutoka kiurahisi bila kumnyanyapaa, lakini anajizorea kura za huruma. To me Salama and MJ they don't deserve to be judges
 
Hawa majaji wanachoouzi kwamba wanamponda mzungu wakati wao ndo wamempitisha toka huko et leo et wanaona hafai kisi watanzania wanampigia kura,
yani wanaboa si kawaida
 
Master J comments zako za mwisho unaonyesha waziwazi kuwa hakika unataka mzungu ashinde na si vinginevyo tafuteni mbinu nyingine . Pili kwa nini mzungu amewekwa mwishoni mwishoni karibu kila wakati katika perfomance. BSS 210 imeingia mgogoro ktk kutuza mtu asiye na kibali cha kazi . Angekuwa mfurahishaji tu kama Marlow
 
Ninakerwa sana kutamka uzungu too much mpaka inaonekana kama kuna ubaguzi Tanzania.
 
Kasheshe heshima yako.

Watu wanakerwa na majaji ana kampuni ya benchmark prod. kutofuata sheria.
Wewe nenda huko kwao (uzunguni) halafu jaribu kubadili the purpose of entry iliyokupeleka huko ambayo kwayo umepewa resident permit au work perit ndo ujue tunachosema hapa. Hakuna ubaguzi. Payne is ok in music lakini je anaruhusiwa kushiriki bila kubadili kusudi la yeye kuwa Tz????????
 
kama nilivyobashiri kuwa majaji wana mtu wao angalia rita anavyowakumbatia vijana -mshindi wa pili ]ames martine walikuwa wanamsifia kuwa ana sura nzuri na mshindi wa tatu ni mzungu watu wanazomea hawaridhiki na yule waliyemwandaa ni MARIAM kama kila jaji alivyoapa kuwa lazima ashinde
 
Mashindano ya namna hii yanatakiwa kuwa transparent zaidi kwa siku zijazo siyo kunongóna nongóna jukwaani wakati wa kutaka kutaja mshindi na zawadi. Aidha kweli pamoja na juhudi za madame Rita naona kama kweli ama alikuwa highly motivated au kuna kitu alitumia kabla maana hakutulia kabisa wakati wa kutoa comments na pia wakati wa kupresent zawadi.

Maneno ya majaji (Rita, Master J & Jabir) kwa washiriki hayako zaidi kiprofessional bali kishabiki. Payne alikuwa mzuri lakini hakustahili kushiriki full stop na hivyo mnapata mgogoro kujifanya kumpa # 3 wakati ni ninyi mlimuruhusu kufika hapo.

Je mmesikia yule mtoa zawadi (wa Kampuni ya simu) kwa mshindi wa 2 & 3 kasema kuwa Kampuni yao imejiunga na BSS kupromote VIJANA WA KITANZANIA , je Payne ni kijana wa Kitz?
Hizi ndio contraditctions ambazo Ms. Rita unatakiwa uziondoe toka mwanzao yaani kaa na Kampuni yako mpitie tena your Mission & Target group katika BSS! Maana kwa namna moja au nyingine ninyi Majaji ndio mmeonekana Wabaguzi lakini pia ni nyinyi mlimruhusu kuparticipate kitu ambacho kwa kweli hakustahili.
 
Kwa matokeo haya ya BSS napata wasiwasi kuwa utamaduni wa kuchakachua matokeo ndio unaota mizizi. Hawa BSS wamejishushia heshima mbele ya macho ya wapenzi wake. Ama kwa hakika nayaonea huruma makampuni yanayo poteza rasilimamali zake kuwa support kwani pamoja na washirika wao BSS wamejishushia heshima mbele ya jamii. Kwa nini tangu mwanzo walimkubalia mzungu kushiriki? Nimeshuhudia upuuzi mtupu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom