Advicer
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 533
- 272
Sio kweli mkuuAende ualimu, Akisomea huo unesi ataishia hapohapo kwenye unesi
Sio kweli mkuuAende ualimu, Akisomea huo unesi ataishia hapohapo kwenye unesi
Diploma ya CO (3 Years ) 680,000/= , Computer Science,IT (3 Years) na zingine zinazofanana 710,000/= Hawa wote waanze kazi siku moja.Mm sioti jenga hoja
Sawa manesi jitahidini na diploma zenu ,si unajivunia kuwa nesiDiploma ya CO (3 Years ) 680,000/= , Computer Science,IT (3 Years) na zingine zinazofanana 710,000/= Hawa wote waanze kazi siku moja.
Alisema kwamba mishahara huzingatia ngazi ya elimu, ambapo ngazi ya astashahada kwa upande wa Serikali Kuu ni Sh 390,000, kada ya walimu Sh 419,000, wauguzi Sh 432,000 na madaktari ni Sh 432,000.Sawa manesi jitahidini na diploma zenu ,si unajivunia kuwa nesi
Hapa hakuna habari ya kujivunia , swala ni kwamba hakuna uwiano mzuri wa Mishahara.Sawa manesi jitahidini na diploma zenu ,si unajivunia kuwa nesi
Acha utapeli ww ndugu.Mshahara wa Nesi mwenye Diploma ni mara 2 ya mshahara wa Mwalimu mwenye Degree.
Manesi mnajitekenya na mnacheka wenyewe kila mtu ashikilie anachokiamini ila wew nesi mweny diploma huwez kumzid mwalim mweny degree neverHapa hakuna habari ya kujivunia , swala ni kwamba hakuna uwiano mzuri wa Mishahara.
Kuna baadhi ya Degree hizi zisizo za Sayansi hufanana Mishahara na mambo ya Afya.
Nimekuwekea mfano tu mdogo.
Ukiwa mtu wa Afya ukaamua kujishighulisha na kutuliza kichwa chako ukianza na Nurse alijiongeza kubeba kozi mfano ya usingizi , Daktari aliyeamua kuchukua masomo ya ziada ya Ultrasonography na mengineyo.
Nilikuwa pahala Daktari MMED Orthopaedic per clinic anatoka na 450,000 mpaka 600,000 hii hutegemea na wingi wa watu.
Kuna Madaktari hapo DSM wanafanya kupisha tu kwenye Poly clinic.Wapo wachache na wanahitajika
Nurses hawa wa Usingizi ,Radiographers and Radiologist machalii wanasumbua sana mitaani kwa walioona mbali zaidi na kujishughulisha.
Sekta ya afya kwa Tanzania kama unaweka uwekezaji na utulivu bado inaleta pesa nzuri tu,
Nesi mwenye diploma anayefanya kazi AMREF na mwalimu mwenye digrii anayefundisha Mtambani Sekondari kule Mpitimbi???Manesi mnajitekenya na mnacheka wenyewe kila mtu ashikilie anachokiamini ila wew nesi mweny diploma huwez kumzid mwalim mweny degree never
Huwezi kuelewa na sikulazimishi kuelewa.Baki na yako nasi tubaki na yetu.Manesi mnajitekenya na mnacheka wenyewe kila mtu ashikilie anachokiamini ila wew nesi mweny diploma huwez kumzid mwalim mweny degree never
Mwalimu mwenye degree anaefanya kazi necta na nesi anafanya kazi ikungulyabashashi health center ?Nesi mwenye diploma anayefanya kazi AMREF na mwalimu mwenye digrii anayefundisha Mtambani Sekondari kule Mpitimbi???
Sawa mkuu fainali uzeeniHuwezi kuelewa na sikulazimishi kuelewa.Baki na yako nasi tubaki na yetu.
Umeonae? Hapa vijana wanajadili mambo ya ajabu.... hawazingatii mwajiri ni nani...Mwalimu mwenye degree anaefanya kazi necta na nesi anafanya kazi ikungulyabashashi health center ?
Hebu acha uongo mkuu wanguMshahara wa Nesi mwenye Diploma ni mara 2 ya mshahara wa Mwalimu mwenye Degree.
Hao wa Muhimbili, mloganzila sijui BUGANDO na KCMC achana nao, Huko kupata gap sio mchezo kwa usawa huu kweli wana scale nzuri Ila Halmashauri ndio panawataka sanaNdugu mwalimu mwenye degree huamini kuwa nesi wa Muhimbili au Mloganzila mwenye Diploma kakuzidi kipato? Nje ya mshahara wewe unapata hela ya kusimamia mtihani, sensa na uchaguzi.
Kama huamini kuzidiwa mshahara na mtu kama nesi ukiambiwa mwanajeshi aliyeishia form four akala four amekuzidi maslahi utaamini?
Ukiambiwa Dereva au mhudumu wa chai NSSF, TRA, PSPF, TANROADS n.k wamekuzidi mshahara utaamini?