BSc(biology),MA(Social science), naombeni msaada, PhD (biology) inawezekana?

malema 1989

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
1,312
512
naombeni elimu ktk hili: BSc(biology),MA(Social science). Inawezekana PhD kusomea tena biology bila kuwa na msingi wa bios ktk shahada ya pili? Tafadhali naombeni msaada ktka hili.
 
Mkuu inawezekana kwa sababu 1st degree ndio msingi wa hizo masters au PhD, usiwe na shaka na hilo...
 
mzee unaziungaz mpaka ends zi-meet, lalalalaaaaaaaa. Mi cjui lkn
 
naombeni elimu ktk hili: BSc(biology),MA(Social science). Inawezekana PhD kusomea tena biology bila kuwa na msingi wa bios ktk shahada ya pili? Tafadhali naombeni msaada ktka hili.

Sidhani kama ni sahihi kusema unataka kufanya PhD ya biology. PhD ina-narrow down kwa specific area, wakati biology kama biology is very broad. Hata hivyo kama una degree ya biology unaweza kabisa kufanya PhD kwa topic ambayo iko ndani ya biology. Better check na institution unayotaka kujiunga nayo ili upate confirmation ya haya tunayoandika hapa.
 
Unaweza kabisa kufanya PhD katika Biology lakini kwa level hiyo inabidi
u narrow down na kujikita katika specific field within hiyo biology eg Botany na nyingezo
zinazotolewa na Chuo husika.
 
Sidhani kama ni sahihi kusema unataka kufanya PhD ya biology. PhD ina-narrow down kwa specific area, wakati biology kama biology is very broad. Hata hivyo kama una degree ya biology unaweza kabisa kufanya PhD kwa topic ambayo iko ndani ya biology. Better check na institution unayotaka kujiunga nayo ili upate confirmation ya haya tunayoandika hapa.

sawa, nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu!
 
naombeni elimu ktk hili: BSc(biology),MA(Social science). Inawezekana PhD kusomea tena biology bila kuwa na msingi wa bios ktk shahada ya pili? Tafadhali naombeni msaada ktka hili.

Huyu kasoma HGL,sasa kasikia mgomo wa madaktari anataka akasomee ili aokoe jahazi
 
Back
Top Bottom