Bsc. Agricultural and Natural Resources, Economics and Business ina fursa zipi?

chimutala

New Member
Jun 2, 2018
4
45
Habari za jioni,

Nimeulizwa na Bwana Mdogo kuhusu hii kozi inayotolewa Chuo kikuu Cha Dar es Salaam upande fursa za kujiajiripamoja pia na kuajiriwa na public sector pamoja na private sector.
 
6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
313
500
Habari za jioni,

Nimeulizwa na Bwana Mdogo kuhusu hii kozi inayotolewa Chuo kikuu Cha Dar es Salaam upande fursa za kujiajiripamoja pia na kuajiriwa na public sector pamoja na private sector.
Iko vizuri Haina tofauti na Agribusiness inayotolewa Sua,pia nafas za scholarship(postgraduate studies) kwa udsm kweny hiyo kozi Ni nying sababu Bado Ni mpya haijatoa wahitimu Zaid ya mara5.
 
Congressman

JF-Expert Member
Jun 2, 2020
307
1,000
ushauri wangu, ogopa kusomea taaluma mpya isiyo popular kwa waajiri wa sekta binafsi na serikalini, hakika utajutia maisha kusoma taaluma mpya. Ushauri wangu ni tried and tested sasa we jifanye hujui wakati tumekwambia mapema. Narudia tena heri ukasomee sociology. OVER
 
Masterkey

JF-Expert Member
May 5, 2014
1,391
2,000
ushauri wangu, ogopa kusomea taaluma mpya isiyo popular kwa waajiri wa sekta binafsi na serikalini, hakika utajutia maisha kusoma taaluma mpya. Ushauri wangu ni tried and tested sasa we jifanye hujui wakati tumekwambia mapema. Narudia tena heri ukasomee sociology. OVER
Hii sio taaluma mpya kiongozi, tanya research yako upya. SUA pia kuna kozi kama inashabihiana na hii ,na ni kongwe pia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom