afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Sep 11, 2011 #1 samahani wapendwa skupata jina zuri la kuiipa hii thread.. ni kuhusu magari , mapya , ya zamani na yapi uyapendayo?? tunaenze na hili.... BLAST OFF: Muammar Gaddafi's rocket car. Gaddafi's self-designed 'Rocket' car....
samahani wapendwa skupata jina zuri la kuiipa hii thread.. ni kuhusu magari , mapya , ya zamani na yapi uyapendayo?? tunaenze na hili.... BLAST OFF: Muammar Gaddafi's rocket car. Gaddafi's self-designed 'Rocket' car....
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Sep 11, 2011 Thread starter #2 CONCEPT: The Jaguar C-X16 concept will be on show at the 2011 Frankfurt motor show.
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Mar 3, 2008 2,855 401 Sep 11, 2011 #4 Kudadeki, hilo mpaka lifike Sinza kwenye yard za magari used, nitakuwa tayari naitwa babu kama Mungu akipenda.
Kudadeki, hilo mpaka lifike Sinza kwenye yard za magari used, nitakuwa tayari naitwa babu kama Mungu akipenda.
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 Sep 11, 2011 #6 hiki kitu baada ya miaka 5 nakivuta ..believe me AD
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Sep 11, 2011 Thread starter #8 Gosbertgoodluck said: Kudadeki, hilo mpaka lifike Sinza kwenye yard za magari used, nitakuwa tayari naitwa babu kama Mungu akipenda. Click to expand... teh teh teh lol tufurahie tu kwa macho mkuu..
Gosbertgoodluck said: Kudadeki, hilo mpaka lifike Sinza kwenye yard za magari used, nitakuwa tayari naitwa babu kama Mungu akipenda. Click to expand... teh teh teh lol tufurahie tu kwa macho mkuu..
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Sep 11, 2011 Thread starter #10 Saint Ivuga said: hiki kitu baada ya miaka 5 nakivuta ..believe me AD Click to expand... hahahahaahh lol mmhh utanipeleka wapa kwa "cross country"???
Saint Ivuga said: hiki kitu baada ya miaka 5 nakivuta ..believe me AD Click to expand... hahahahaahh lol mmhh utanipeleka wapa kwa "cross country"???
babu M JF-Expert Member Mar 4, 2010 5,221 3,167 Sep 11, 2011 #13 Tata Motors wamejitaidi sana kuibadilisha Jaguar Land Rover group, models mpya zote zimekuwa zinavutia.
Tata Motors wamejitaidi sana kuibadilisha Jaguar Land Rover group, models mpya zote zimekuwa zinavutia.
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 Sep 11, 2011 #14 afrodenzi said: hahahahaahh lol mmhh utanipeleka wapa kwa "cross country"??? Click to expand... mwe!!!!!!!!!!huniogopi?)
afrodenzi said: hahahahaahh lol mmhh utanipeleka wapa kwa "cross country"??? Click to expand... mwe!!!!!!!!!!huniogopi?)
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Sep 11, 2011 Thread starter #15 Saint Ivuga said: too comfortable Click to expand... duhhhh ukiingia hapo hatoki mtu....
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Sep 11, 2011 Thread starter #16 Saint Ivuga said: mwe!!!!!!!!!!huniogopi?) Click to expand... khaaa kwanini nkuogope.. kwani unakula watu??
Saint Ivuga said: mwe!!!!!!!!!!huniogopi?) Click to expand... khaaa kwanini nkuogope.. kwani unakula watu??
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Sep 11, 2011 Thread starter #17 HOLDEN-LIKE: Citroen's Sandman like Tubik concept.
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Sep 11, 2011 Thread starter #18 babu M said: Tata Motors wamejitaidi sana kuibadilisha Jaguary Land Rover group, models mpya zote zimekuwa zinavutia. Click to expand... Attachments 5588413_600x400.jpg 32.7 KB · Views: 66
babu M said: Tata Motors wamejitaidi sana kuibadilisha Jaguary Land Rover group, models mpya zote zimekuwa zinavutia. Click to expand...
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Sep 11, 2011 Thread starter #19 Saint Ivuga said: Click to expand... Hopefully ana full insurance...
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Sep 11, 2011 Thread starter #20 PRETTY PORSCHE: Visitors look at new Porsche 918 RSR sports car during a press preview of the Seoul Motor Show in Goyang, north of Seoul.
PRETTY PORSCHE: Visitors look at new Porsche 918 RSR sports car during a press preview of the Seoul Motor Show in Goyang, north of Seoul.