Brutality na Unyama wa CCM = "Katiba, Dowans, Richmond, EPA, 2010 Uchaguzi, Umeme..." | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Brutality na Unyama wa CCM = "Katiba, Dowans, Richmond, EPA, 2010 Uchaguzi, Umeme..."

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Feb 11, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I) Katiba wanataka kuunda wao. Katiba ya kwanza waliunda wao na Nyerere, wakerebisha wao na sasa katiba mpya ccm hao hao wanataka waunde wao. Huu ni ukiukaji wa Haki za binadamu. Kuna maana gani ofisi ya raisi-Kikwete tena tuwaamini kuunda Katiba? (wakati uchaguzi hakushinda?). Kwanini Chama chenye viti vingi bungeni - Chadema hawana haki ya kusimamia uundwaji wa Katiba Tanzania?

  II) Dowans na Richmond wamelaghai na kutengeneza documents fake ili kupeleka ICC kujilipa wao na mafisadi. Hao hao wanakaa vikao na kuamua Dowans ilipwe, huu si ukiukwaji wa haki za binadamu? Chama kilicho madarakani wanajiweka kila mahali ili serikalini na kuwaondoa wapinzani kila mahali ili walinde siri zao...mahakama leo hii imekuwa route ya kuwadanganya wananchi ili wakishinda kesi waseme mahakama wameamua...

  III) Uchaguzi 2010 umejulikana wazi Jk aliiba kura. Ushahidi upo wazi na wananchi wananyimwa haki zao, hii sio ukiukwaji wa haki za binadamu? Clearly ccm is violating rights za watanzania na wananchi hatutakaa kimya...hizo kesi zinakwenda mahakamani ili majaji hao hao walioteuliwa na Jk waamue ushindi. Watanzania sio vichaa hivyo kama wao.

  IV) Njama za kuwazimia umeme watanzania na kupandisha umeme Tanzania wakati kampuni ya Tanesco wanaelekea kumlipa Rostam-Dowans, hii sio ukiukwaji wa haki za binadamu?

  Tunawashahuri Watanzania na Chadema Tuwaelimishe Watanzania Wote na Hasa Watoa Misaada ili Hii Serikali Isipewe Misaada Kupitia Wizara Fedha.

  "Mwisho wa ccm na Jk ni huu. Mwezi huu huu wa February 2010"
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Let's wait.
   
Loading...