Bruno Kims jela miaka 2 kwa kuyapongeza majambazi yaliyoua polisi Staki shari

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
28,941
30,229
Kijana mmoja afahamikaye kama bruno kmya amehukumiwa kwenda jela miaka miwili baada ga kupost kwenye facebook, kuyapongeza majambazi yalioua polisi katika kituo cha staki shari..

- kwa taarifa zaidi tembelea page yake FB akitumia hayo majina.

My take: tutumie Mitandao ya kijamii vizuri na tufikirie kabla ga kupost kitu.

============

Post yenyewe ni hiiiii..
View attachment 312520

1450872334498.jpg
Picha yake.
 
Busara itumike, kwa kutumia nguvu nyingi mithili ya kutumia bunduki kuua nzi...., tutajikuta jela zimejaa watu wa kesi za ajabu ajabu alafu majambazi na majangili kukosa nafasi..., ikumbukwe huyu kijana anakwenda huko kulishwa na kula kodi zetu wakati huo huo tunapoteza nguvu kazi uraiani ambayo angeendelea kuzalisha

Kesi za hivi Fine au Community Service ndio ingekuwa muafaka
 
Kwa hiyo umeogoooopa au sio? Hata wewe upo njiani na hadi utoke hako ka avator ka fidodido katakuwa kamebakia visigino.
 
Kijana mmoja afahamikaye kama bruno kmya amehukumiwa kwenda jela miaka miwili baada ga kupost kwenye facebook, kuyapongeza majambazi yalioua polisi katika kituo cha staki shari..
- kwa taarifa zaidi tembelea page yake fb akitumia hayo majina.

My take: tutumie Mitandao ya kijamii vizuri na tufikirie kabla ga kupost kitu.

News haina ndimu.
 
Yerico nae nasikia ana kesi,ila najua umoja wa mataifa hautakubali yerico afungwe asee,,ha ha ha ha
 
Busara itumike, kwa kutumia nguvu nyingi mithili ya kutumia bunduki kuua nzi...., tutajikuta jela zimejaa watu wa kesi za ajabu ajabu alafu majambazi na majangili kukosa nafasi..., ikumbukwe huyu kijana anakwenda huko kulishwa na kula kodi zetu wakati huo huo tunapoteza nguvu kazi uraiani ambayo angeendelea kuzalisha

Kesi za hivi Fine au Community Service ndio ingekuwa muafaka

Sijui ulisoma shule ya wapi. Au ndo matokeo ya matatizo ya elimu yetu.
 
Busara itumike, kwa kutumia nguvu nyingi mithili ya kutumia bunduki kuua nzi...., tutajikuta jela zimejaa watu wa kesi za ajabu ajabu alafu majambazi na majangili kukosa nafasi..., ikumbukwe huyu kijana anakwenda huko kulishwa na kula kodi zetu wakati huo huo tunapoteza nguvu kazi uraiani ambayo angeendelea kuzalisha

Kesi za hivi Fine au Community Service ndio ingekuwa muafaka

We vipi?,yeye alipowapongeza majambazi kwa kuua alitumia busara? Tuanzie hapo maana watu wengine mradi unapost tu,fikirieni kwanza.
 
Back
Top Bottom