BRT Kenya

Electric brt
IMG_20210610_091852.jpg
IMG_20210610_091141.jpg
 
When it comes to stations Tanzania Will forever dream to reach Kenya's level. Just look at this BRT station and compare it with Tanzanian stations even before it's complete.

View attachment 1820242
Hao wamezoea kujengewa zizi ya ng'ombe alafu wanafurahi. Kufikia mwaka 2023 kenya itakuwa na laini 7 za commuter rail ukijumlisha yote itakuwa 250km ya commuter rail. Alafu bado tutakuwa na laini 5 za brt for last mile connection Yote ikiwa ni zaidi ya 100 km ya brt.
 
Kwa sahi kenya railways inahitaji DMU zingine 50 kufikia mwaka 2023. Mwaka ujao kuna DMU za NCR na locomotives za nakuru kisumu railway zingine zitanunuliwa, mbali na hizi 31 ambazo zinakuwa refurbished
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom