joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Broke Kenya now turns to donors for Sh122b : The Standard
Majirani wenye GDP ya kwenye makaratasi sasa hii ni aibu, yaani wao kila tatizo kwao wanalitumia kama fursa ya kuombaomba.
Hili tatizo la Corona ndio kwanza limeanza bado halijachanganya, tayari wanakopa pesa, je ilifikisha miezi miwili au mitatu na nchi ikiwa na Wagonjwa zaidi ya 1,000 mtafanyaje?.
Kenya hamjitegemei kabisa, kawaida ni vizuri nchi kuanza kwa kutumia pesa ya ndani kwanza hadi hali inapokuzidia ndio unaomba msaada, kwa kufanya hivyo ndio unaheshimika duniani.
Tanzania huwa tunaanza wenyewe kwa nguvu zetu, kama ni mikopo au misaada inakuja kutukuta mbele kwa mbele, tena pale tunapoona kuna umuhimu wa kuomba msaada au kuomba mkopo. Hii tabia yenu ya kuchukua mikopo hata kwa mambo ambayo mnayaweza, mnapoteza heshima yenu na nchi mnazidi kuiweka pabaya kwa madeni. Poleni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app