Broadcasting Media, Tanzania

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
966
66
Naenjoy napoangalia vipindi kama :
-Face The Nation
-Meet the Press
-State Of the Union
-This Week
siku ja jumapili huko states.

Najiuliza kwa nini Tanzania,kama kweli tuna demokrasia,na sasa tuna ITV ,TBC na zinginezo,kwa nini tusiwe na strong journalists ambao ni independent waka conduct mahojiano kama haya?
Vipindi vya sasa Tanzania haviniridhishi kabisa katika contents
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom