Bro wangu kanichosha sana, nampiga chini leo leo! Nimechoka!

Pambaf yuko wapi kwanza tumshughulikie ni wakupiga afie mbali kabisa ana mtoto kwani kama hana maliza kabisa.Ukimpiga chini tu atateseka we maliza kabisa
 
kwanini kufa maskini na kuishi kwa masikitiko kisa ndugu tena mtu mzima?
ukweli uko wazi na umeshaamua kumfukuza do that
atatia akili na atagundua life sio hivo
igeni mfano wa wachaga huwa hawavumilii ujinga kama huu
mtu kama hasaidiki arudi kwa kijiji akalime
aisee una moyo kweli kumhangaikia asiejua thamani ya mahangaiko yako
piga chini hata mungu anaona unavoumia..khaaaaaa agrrrrrrrrrrrrrr
 
Haaaaa.....
Kaaa nae tu, kama mtoto wako!!!! Wacha fikra za kumfukuza.... Cijuw umefikiriaje??? Naaapa kwa Mungu na kukuombea tena kwa Yesu na Mohammad (SAW) usirudie tena hayo mawazo....
 
mkuu kuna watu hawabebeki..........suluhisho la mwisho ni kumuondoa ..fukuzia mbali kabisa..kama hawezi kujiheshimu hakuna namna.....timua tu....
 
Usimfukuze hata kidogo.

Huyu ni kaka yako, na yanayomsibu ni mtihani tu, mmetoka tumbo moja, jifikirie ingekuwa ni wewe badala ya yeye ungependa kufukuzwa na kunyanyaswa? Inabidi umuenzi na kumheshimu na mapungufu yake yote.

Utamfukuza leo hujui ya kesho.

yanayomsibu yapi? yaani yeye kufanya uhuni na kujidai kwa mademu zake kuwa hapo ni kwake ..we unaona ni mtihani?....sasa mbona yeye hakubali kama na hawaambia mademu zake kuwa hapa ni kwa bwana mdogo wangu?!!!....kwanza huyu jamaa inaonekana habebeki...mimi nilimtimua kaka yangu mtoto wa mama mkubwa fukuzia mbali kabisa ....
 
ndugu yangu Damu nzito kuliko maji nenda naye taratibu wala usionyeshe kukasirika hata kidogo,yeye ni mwanaume mwambie ajitegemee usike naye hapo, kama ni mwizi anajitafutia kifo kabla ya muda wake.
 
Huyu ni kaka yangu kabisa, mama mmoja baba mmoja. Ana miaka 38 na kabla ya kuzaliwa mimi, walizaliwa kaka na dada zangu wengine 2, hivyo mimi ni mdogo wake wa 3, na hapo unaweza kujua tumepishana umri kiasi gani!

Haileweki. Alimaliza form akafeli. Wazazi walimlazimisha shule akakataa kata kata. Akawa anashinda anazurura na kufanya kazi za udalali huku akiishi kwa sisi wadogo zake. Alikuwa anakaa kwa kaka zangu mwanzo, akawa na tabia za ulevi wa kupindukia na kuiba vitu vidgo vidogo na kusumbua shemeji zake. Tumemkalisha vikao na kumuonya kashindwa kubadili tabia.

Kila mtu alimchoka tukaamua kumuacha na kuanza kuishi maisha kama chokoraa! Nilimuonea huruma, nikamchukua akae nyumbani kwangu. Nilijaribu kumfungulia miradi ikafa kwa maana ni muhongaji mzuri wa wanawake! Nilimpa hela aenda driving, na kupata leseni ili nifanyie mpango kazini kwangu akala hela zote na leseni hakupata. Niliamua kumtafutia leseni kwa juhudi zangu na kumpeleka akawe dereva kwenye kampuni moja kubwa ya kusafirisha mizigo, akaishia kutumia magari kubebea vimwana. Akafukuzwa kazi

Sasa kaanza tabia ya udokozi wa vitu vya ndani na kuuza na kuleta wanawake huku akiwadanganya kuwa nyumba na usafiri wangu vyote ni vyake, ila kaamua kuniachia mdogo wake. Na sasa kuna msichana wake kanitumia meseji eti kwa nini nang'ang'ania nyumba na usafiri wa kaka badala ya kujitafutia maisha yangu mwenyewe! Thats is to say, hata wasichana wake wanaamini kuwa mimi ndo ninaishi kwa kaka! Wananisumbua, eti nawabana! - Sijui wana upeo mdogo kiasi gani!

Sasa mtu kama huyu hasaidiki, nitampeleka wapi? Nampiga chini leo leo. Namfukuzia mbali! Nimechoka!
Naomba ushauri!

HorsePower

Mpangie chumba na umlipie hata kodi ya mwaka mzima... Then mkaushie apasuke mwenyewe huko
 
Wewe umemdekeza huyo ndugu yako. Ungemtimua muda mrefu sahivi akili ingekuwa imemkaa sawa na si ajabu angekuwa na maendeleo.
 
jamani wewe ulipotelea wapi? Unanitafuta unilipe lile deni langu eeh? Lol.

maana naona tunapishana milango tu....lile ntakulipa wala usijali..lol...

vipi kama ingekuwa ni wewe ndiyo horsepower...ungemtiulia mbali huyo nduguyo sio?
 
haya, tuweke kambi hapa ili tusipishane. Lol.
Unajua edson, mara nyingine inabidi kufanya maamuzi magumu hasa kama unaona yataleta manufaa. Umeshaona watu ambao wametimuliwa kwao au kwa ndugu waliokuwa wanaishi nao? Wale watu hupata akili za maisha, anajua lazima ajibidiishe. Ningekuwa HP ningemtimua ila si kwa sababu simpendi, kwa kufanya hivyo ningempa opportunity ya yeye kuyajua maisha na kukabiliana nayo.
 
kuna post moj huko nimeelza kuwa mimi nilimtimua kaka yangu mtoto wa mama mkubwa.....ilikuwa kama hivi ilivyotokea kwa horse power....mimi nilimfukuza..huwezi amini husy jamaa aliondoa hata picha yangu ukutani na kuweka ya kwake...akawa anaaambia mademu zake kuwa hpo ni kwake....nilichukia sana niliprudi...nimekaa nae zaidi ya mara 5 kumuonya aache tabia hiyo lakini jamaa hasikii...kusimamia miradi hawezi kazi yake i kujitangaza kwa mabinti na kunywa pombe....uvumilivu ulipofika kikomo nilimtimua vibaya sana.....
 
ukiona zigo umelibeba halibebeki unalitua. Acha jamii ikuone mbaya ila mungu anajua ulijitahidi vya kutosha.
Mambo yako vipi lakini?. (tushachangia topic inatosha). Lol.
 
Pole
Ila nadhani jipe Muda wa kupata suluhisho ambalo hutakuja jutia baadae

Kwa kuanza mpe Hizo sms, ili na yeye achangie kidogo kubeba mzigo, maana ataumia tu
 
Pole sana. Hizo tabia siyo normal. Mara nyingi zinaweza kuwa ni tabia za asili za kurith. Hebu chunguza kwenye kizazi chenu kama hakukuwa na mtu mwenye tabia hizo. Pia jina alilopewa lilikuwa la nani? Na huyo mtu alikuwa na tabia gani? By the way Mungu anaweza kubadili historia ya mtu. Sijui imani yako ila kama unaamini ktk Damu ya Yesu yote yanawezekana. Nenda maeneo ya mbezi beach uulizie kanisa la Siloam wao wamepewa kipaji sana chakuvunja tabia za asili. Nenda mtafute mchungaji mweleze kila kitu then muwe committed kwenye maombi. Kaka yako atarejea kwa upya na utampenda kuliko ilivyowahi kutokea. Ubarikiwe.

Huyu ni kaka yangu kabisa, mama mmoja baba mmoja. Ana miaka 38 na kabla ya kuzaliwa mimi, walizaliwa kaka na dada zangu wengine 2, hivyo mimi ni mdogo wake wa 3, na hapo unaweza kujua tumepishana umri kiasi gani!

Haileweki. Alimaliza form akafeli. Wazazi walimlazimisha shule akakataa kata kata. Akawa anashinda anazurura na kufanya kazi za udalali huku akiishi kwa sisi wadogo zake. Alikuwa anakaa kwa kaka zangu mwanzo, akawa na tabia za ulevi wa kupindukia na kuiba vitu vidgo vidogo na kusumbua shemeji zake. Tumemkalisha vikao na kumuonya kashindwa kubadili tabia.

Kila mtu alimchoka tukaamua kumuacha na kuanza kuishi maisha kama chokoraa! Nilimuonea huruma, nikamchukua akae nyumbani kwangu. Nilijaribu kumfungulia miradi ikafa kwa maana ni muhongaji mzuri wa wanawake! Nilimpa hela aenda driving, na kupata leseni ili nifanyie mpango kazini kwangu akala hela zote na leseni hakupata. Niliamua kumtafutia leseni kwa juhudi zangu na kumpeleka akawe dereva kwenye kampuni moja kubwa ya kusafirisha mizigo, akaishia kutumia magari kubebea vimwana. Akafukuzwa kazi

Sasa kaanza tabia ya udokozi wa vitu vya ndani na kuuza na kuleta wanawake huku akiwadanganya kuwa nyumba na usafiri wangu vyote ni vyake, ila kaamua kuniachia mdogo wake. Na sasa kuna msichana wake kanitumia meseji eti kwa nini nang'ang'ania nyumba na usafiri wa kaka badala ya kujitafutia maisha yangu mwenyewe! Thats is to say, hata wasichana wake wanaamini kuwa mimi ndo ninaishi kwa kaka! Wananisumbua, eti nawabana! - Sijui wana upeo mdogo kiasi gani!

Sasa mtu kama huyu hasaidiki, nitampeleka wapi? Nampiga chini leo leo. Namfukuzia mbali! Nimechoka!
Naomba ushauri!

HorsePower
 
ukiona zigo umelibeba halibebeki unalitua. Acha jamii ikuone mbaya ila mungu anajua ulijitahidi vya kutosha.
Mambo yako vipi lakini?. (tushachangia topic inatosha). Lol.

hahaha..zinatosha ee!! mchango wako husy muhimu! aisee mi nipo poa...mengine ntakwandikia kwenye pm..
 
Back
Top Bottom