Bro wangu anatafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bro wangu anatafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mramba, Aug 19, 2010.

 1. m

  mramba Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka yangu amemaliza kidato cha nne, umri wa miaka 27 ni fundi mekanika amefanya mitihani ya VETA Motorvehicle mechanics grade two, na autodriving grade two also.Anaishi mkoani kilimanjaro na anaweza kwenda mkoa wowote kulingana na makubaliano na mwajiri wake.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mshauri ajaribu kuapply kwenye makampuni ya utalii, hiki ni kipindi kizuri
   
 3. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mkuu si umpige jeki ajiajiri mwenyewe?
   
 4. GASTON

  GASTON Member

  #4
  Aug 20, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Dah! kachelewa kidogo coz TANESCO walikua wametangaza nafasi nyingi zikiwepo hizo za Mechanics -VETA. na mwisho wa kutuma maombi ilikua jana j5. ila tupo pa1 kama zikitokea nafasi nyingine tutaambiana.
   
 5. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwambie asome sana magazeti na apeleke CV kwenye recruitment agencies
   
 6. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asomee udereva wa kuendesha viongozi Chuo Cha Usafirishaji ama VETA ili ajiweke vyema katika kupata nafasi za ajira ukizingatia ni fundi. Hujasema kama anauzoefu na fani hiyo wa muda gani ama ni fresh from school.
   
Loading...