Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo boss yuko wapi siku hizi?Kaka yangu Mchechu kwanza nikupongeze kwa kuwa CEO wa Taasisi ya Serikali ukiwa Kijana mdogo (wastani) lakini Business Model yako ya kufyatua majumba kila kona ya nchi kwa wakati mmoja sijaielewa!! kama lengo ni kuuza je una uhakika na Wateja? Zaidi mbona hata bei zake ni ghali mno. Nini hasa kinafanya kuwa ghali na hamnunui hata Ardhi, pia (inasemekana) mna msamaha wa kodi kwa baadhi ya vifaa vya ujenzi mnavyoingiza nchini?
Mbona yote yamejaa tayariKaka yangu Mchechu kwanza nikupongeze kwa kuwa CEO wa Taasisi ya Serikali ukiwa Kijana mdogo (wastani) lakini Business Model yako ya kufyatua majumba kila kona ya nchi kwa wakati mmoja sijaielewa!! kama lengo ni kuuza je una uhakika na Wateja? Zaidi mbona hata bei zake ni ghali mno. Nini hasa kinafanya kuwa ghali na hamnunui hata Ardhi, pia (inasemekana) mna msamaha wa kodi kwa baadhi ya vifaa vya ujenzi mnavyoingiza nchini?
Pia nawe njoo na datamuongee mkiwa na data..
hizo nyumba za NHC zote ziko sold out
Ushasema nchi za watu. Sheria zao umezisoma?mbona kina mbowe, mkapa na lowassa wameshaongelewa sana kumiliki nyumba nchi za watu.. why wagen wasimiliki tanzania
Pale uswaziNyumba za pale Shekilango ni za kuuza 100m kweli?
SquatterKununua vijumba makambini sio ujanja
Anasubiri KuapishwaHuyo boss yuko wapi siku hizi?