BRN ya Kikwete yazikwa rasmi Ikulu

Asante, BRN Ndo Walileta G.P.A Ili Wanafunz Wafaulu Wengi, Ikapelekea Ndalichako Kujiudhuru. Magu Alipoingia Ikulu Akamteua Kuwa Wazir Na Leo BRN Anaifutilia Mbali.

Taasis Zlizokuwepo Toka Awali Zilikua Zinatosha Kukabiliana Na Changamoto Za Elimu Tatizo Lilikua Uwajibikaji Tu, Lkn Co Kutengeneza Overheads Zczo Na Maana, Mara Wakaweka Wizara Kibao, Had Wizara Mbili Kudeal Na Ki2 Kimoja, Hayo Ni Matumiz Mabaya Ya Resources. Elimu Ya Kpnd Cha Mkapa Ilikua Nzr Nadhan Magu Anairudisha Taratibu, Hakuna Urahc Rahc Kwenye Elimu.

BRN Wkt Bajet Ya Elimu Ndogo, Waalimu Wanadhurumiwa Staiki Zao, Shule Za Kata Hazna Waalimu Wala Maabara, Primary Hawana Madawati, Km Co Siasa Ni Nn? Kuna Vyuo Vingi Vya Kihuni Vkaanzshwa Ndalichako Kavfuta Baadhi. Awamu Ya Nne Iliingiza Siasa Sn Kwenye Elimu K2 Ambacho Ni Hatari.

Me Namuelewa Sn Magufuli, Ndio Faida Ya Kusoma Sayansi Ni Mwendo Wa Kusolve Logics Na Organics Tu Lazma Equations Zibalance Hata Km Ni Complex Kiac Gan.
 
Kwa anaejua walikua wangapi na wamepangiwa kazi gani na wapi? BRN, naishutumu kwa kufanya kazi kisiasa badala ya kitaalamu. Walikua wanaweka lengo la ufaulu ambalo ilikua lazima lifikiwe hata kwa njia ya mkono. Nilikua najiuliza wizara ipo, TAMISEMI ipo, NECTA ipo, Halmashauri zenye shule zipo, sasa BRN committee what for? Nampongeza Rais kwa uamuzi huu japo ilitakiwa awaambie tu kuwa wamekua redundant
 
  • Thanks
Reactions: SDG
BRN YA KIKWETE YAZIKWA RASMI IKULU.........

Rais John Magufuli ameagana na wafanyakazi wa iliyokuwa Ofisi ya Rais, Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (President’s Delivery Bureau - PDB) ambao wamehamishiwa katika ofisi na taasisi nyingine za Serikali kwa ajili ya kuendelea na utumishi wa umma.

Wafanyakazi hawa ndio walikuwa wakisimamia utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now - BRN).

Rais Magufuli amekutana na wafanyakazi hao Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo amewashukuru kwa kazi nzuri waliyoifanya wakiwa PDB na amewataka kuendelea kulitumikia Taifa kwa juhudi na maarifa wakiwa katika ofisi nyingine walizopangiwa.

“Natambua kuwa nyie ni wafanyakazi wazuri wenye ujuzi na maarifa muhimu kwa ajili ya Taifa letu. Mmetoa mchango mkubwa mlipokuwa PDB nategemea mtaendelea hivyo na hata zaidi katika ofisi mbalimbali mlizopangiwa, mkachape kazi kwa kutanguliza maslahi ya Watanzania” amesema Rais Magufuli.

Yaani ameshindwa kuwaambia ukweli kuwa walikuwa wakila mamishahara ya bure...View attachment 531422
, kwenye hitimisho hapo mwishoni ndio ukweli ulipojichimbia kwa ndani.
 
Kaka vichwa una maana gani? Mimi nina jamaa zangu walikuwa pale kutokea balozi mbalimbali, upigaji ninaousemea hapa ni kwamba matumizi ya BRN hayaendani na kasi hii ya magu, ninavyofahamu hawa jamaa walikuwa benchi toka JPM aiengie sema leo ndio wametangaza kwenye Public.
BRN ulikuwa mpango halalishi wa upigaji, anayebisha haijui BRN ila aliwahi kusikia kuwa kuna BRN.
 
Asante, BRN Ndo Walileta G.P.A Ili Wanafunz Wafaulu Wengi, Ikapelekea Ndalichako Kujiudhuru. Magu Alipoingia Ikulu Akamteua Kuwa Wazir Na Leo BRN Anaifutilia Mbali. Taasis Zlizokuwepo Toka Awali Zilikua Zinatosha Kukabiliana Na Changamoto Za Elimu Tatizo Lilikua Uwajibikaji Tu, Lkn Co Kutengeneza Overheads Zczo Na Maana, Mara Wakaweka Wizara Kibao, Had Wizara Mbili Kudeal Na Ki2 Kimoja, Hayo Ni Matumiz Mabaya Ya Resources. Elimu Ya Kpnd Cha Mkapa Ilikua Nzr Nadhan Magu Anairudisha Taratibu, Hakuna Urahc Rahc Kwenye Elimu. BRN Wkt Bajet Ya Elimu Ndogo, Waalimu Wanadhurumiwa Staiki Zao, Shule Za Kata Hazna Waalimu Wala Maabara, Primary Hawana Madawati, Km Co Siasa Ni Nn? Kuna Vyuo Vingi Vya Kihuni Vkaanzshwa Ndalichako Kavfuta Baadhi. Awamu Ya Nne Iliingiza Siasa Sn Kwenye Elimu K2 Ambacho Ni Hatari. Me Namuelewa Sn Magufuli, Ndio Faida Ya Kusoma Sayansi Ni Mwendo Wa Kusolve Logics Na Organics Tu Lazma Equations Zibalance Hata Km Ni Complex Kiac Gan.
Mkuu vipi keyboard yako mbovu au haina baadhi ya herufi?
 
Maisha bhana,BRN tuliikosoa sana na kuna wabunge wa upinzani waliikosoa kwelikweli kuwa ni ya uwongo na tunadanganywa,makada watiifu wakaisifia sana,leo imevunjwa nao wanamsifia mvunjaji kuwq haikuwa na dili,BRN haikua na deal since then,ilikua imeundwa kwa malengo mazur ila ikaja kuwa kichaka cha propaganda nyingi sana,wewe fikiria tangu ianzishwe haijawah kuundiwa sheria ya kuanzishwa kwake,ilikua ipoipo tu haijawah kuwa na document ambayo ipo wazi,document ya BRN ilikuwa ni SIRI,na JPM pia alikuwa na options mbili,kuivunja au kuiboresha iwe imara zaidi ingemsaidia
 
Mimi nasubiri atakapolichukua lile dude "mwenge" akaliharibu na kupiga marufuku kabisa shughuli zote za mwenge. Nitafurahi sio mimi tu na karibu watanzania wote.
_20170627_223241.JPG
 
Back
Top Bottom