mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,147
Wanajamvi
Nimeitafakari BRN na vipaumbele vyake na rasilimali watu viongozi kuchajiza matokeo makubwa
Kiuhalisia BRN mpaka sasa utasema inamuenzi mwalimu Nyerere kwa kuonyesha Udhaifu wa sasa.
Napata kirefu cha BRN kutokana na uhalisia wa mambo mpaka sasa
BRN ni Bora Rais Nyerere
Ni wakati huu ilipoanzishwa na vipaumbele vyake
-Bunge linaona Mawaziri na Mkuu wakifanya kazi chini ya kiwango mpaka wengine kukiri wamedumaa wakati enzi za mwalimu wakina Sokoine ulikuwa moto sasa BRN sio Bora Rais Nyerere kama hali ndo hii kwa watawala
-Elimu ikiwa kipaumbele cha BRN imekuja na dhana ya div 5 kama mwarobani pia wa kufeli kwa wanafunzi simkakati wa kutangaza Bora Rais Nyerere(BRN) ilikuwa ubora kuliko wingi usiokuwa na zero
-Nishati kauli ya Naibu waziri simba na hata Waziri na mgao si kusema BRN ni Bora Rais Nyerere kwa utendaji wa namna hiyo.
Wakati wa mwalimu zero hazikuwa nyingi sasa hatua haziiokoi inaporomoka kwa kasi sana si kumaanisha hata Zero ni BIG RESULT NOW
Naomba kuwasilisha mtazamo