BRN kirefu chake au maana yake HALISI awamu hii

M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
1,847
Likes
795
Points
280
Age
34
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
1,847 795 280
Wanajamvi

Nimeitafakari BRN na vipaumbele vyake na rasilimali watu viongozi kuchajiza matokeo makubwa

Kiuhalisia BRN mpaka sasa utasema inamuenzi mwalimu Nyerere kwa kuonyesha Udhaifu wa sasa.

Napata kirefu cha BRN kutokana na uhalisia wa mambo mpaka sasa

BRN ni Bora Rais Nyerere

Ni wakati huu ilipoanzishwa na vipaumbele vyake

-Bunge linaona Mawaziri na Mkuu wakifanya kazi chini ya kiwango mpaka wengine kukiri wamedumaa wakati enzi za mwalimu wakina Sokoine ulikuwa moto sasa BRN sio Bora Rais Nyerere kama hali ndo hii kwa watawala

-Elimu ikiwa kipaumbele cha BRN imekuja na dhana ya div 5 kama mwarobani pia wa kufeli kwa wanafunzi simkakati wa kutangaza Bora Rais Nyerere(BRN) ilikuwa ubora kuliko wingi usiokuwa na zero
-Nishati kauli ya Naibu waziri simba na hata Waziri na mgao si kusema BRN ni Bora Rais Nyerere kwa utendaji wa namna hiyo.

Wakati wa mwalimu zero hazikuwa nyingi sasa hatua haziiokoi inaporomoka kwa kasi sana si kumaanisha hata Zero ni BIG RESULT NOW

Naomba kuwasilisha mtazamo
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,069
Likes
5,268
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,069 5,268 280
haitusaidii sana kuangalia nyuma badala ya kusonga mbele, nadhani hiihii ya Better Resign Now inawatosha
 
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
1,847
Likes
795
Points
280
Age
34
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
1,847 795 280
haitusaidii sana kuangalia nyuma badala ya kusonga mbele, nadhani hiihii ya Better Resign Now inawatosha
hii maana nayo ina supportive evidence kweli Tanzania zaidi uijuavyo
 
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
1,847
Likes
795
Points
280
Age
34
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
1,847 795 280
Kilimo kwanza imezikwa na kaulimbiu hii ambayo naona inasifu awamu ya mwalimu hata kwenye sekta ya gas mwalimu alisema mpaka tujenge uwezo kinachofanyika sasa Bora Rais Nyerere (BRN)
 
Gwangambo

Gwangambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
3,653
Likes
94
Points
145
Gwangambo

Gwangambo

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
3,653 94 145
Wanajamvi

Nimeitafakari BRN na vipaumbele vyake na rasilimali watu viongozi kuchajiza matokeo makubwa

Kiuhalisia BRN mpaka sasa utasema inamuenzi mwalimu Nyerere kwa kuonyesha Udhaifu wa sasa.

Napata kirefu cha BRN kutokana na uhalisia wa mambo mpaka sasa

BRN ni Bora Rais Nyerere

Ni wakati huu ilipoanzishwa na vipaumbele vyake

-Bunge linaona Mawaziri na Mkuu wakifanya kazi chini ya kiwango mpaka wengine kukiri wamedumaa wakati enzi za mwalimu wakina Sokoine ulikuwa moto sasa BRN sio Bora Rais Nyerere kama hali ndo hii kwa watawala

-Elimu ikiwa kipaumbele cha BRN imekuja na dhana ya div 5 kama mwarobani pia wa kufeli kwa wanafunzi simkakati wa kutangaza Bora Rais Nyerere(BRN) ilikuwa ubora kuliko wingi usiokuwa na zero
-Nishati kauli ya Naibu waziri simba na hata Waziri na mgao si kusema BRN ni Bora Rais Nyerere kwa utendaji wa namna hiyo.

Wakati wa mwalimu zero hazikuwa nyingi sasa hatua haziiokoi inaporomoka kwa kasi sana si kumaanisha hata Zero ni BIG RESULT NOW

Naomba kuwasilisha mtazamo
Umeishiwa mbinu.
 
Forum statistics

Threads 1,273,220
Members 490,323
Posts 30,474,196