Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

North Korea wanahitaji Sana kukombolewa dhidi ya dikteta Kim. Anaeishi kifalme ndani ya mafukara.
Kama internet imeruhusiwa wamekwisha
Wameruhusu Ila niliweka video zikawa zinaoma imebidi niingie settings nifanye Simu Kama Niko region nyingine yaan wenye iPhone wanaelewa nime weka Kama niki London ikakubali ku update na kuendelea na ku post
 
Nchi inayotengeneza ballistic nyuklia useme ya kuifanananisha na tanzania ambayo kiberiti tunaagiza china

Kule illiteracy n 100%
Ile nchi n mashart lakin huwez ifananisha na nchi za afrika kwa advancement
Yes wame advance kusema kweli Ila si kiviile
 
Hukula tunda kimasihara?
Nimempata mmoja nilipofikia kwenye Condo! Wanaita Condo yaan apartment! Ni muhudumu wa hapa ! Wako vema na kila mdada wa Korean Kaskazini ananiangalia kwa jicho la huruma kwamba naweza Kumuondoa hapa kwa Njia ya Kumuoa Maana Kuna Mambo Mengi hawayapati Kama haki zao wanawake
 
Hata Tz tunachaguliwa habari za kuandika , kuchapisha & kutangaza . U communist ni hovyo na haijawahi kuitoa nchi yoyote mrisi .

Wewe , Seul watu wanakula maisha, huku Pyongyang ni kumtukuza kiongozi na genge lake linalotawala !! U communist ni hovyo kabisa
Ila kwa korea kumezidi na Wana restrictions nyingi sana
 
Nimempata mmoja nilipofikia kwenye Condo! Wanaita Condo yaan apartment! Ni muhudumu wa hapa ! Wako vema na kila mdada wa Korean Kaskazini ananiangalia kwa jicho la huruma kwamba naweza Kumuondoa hapa kwa Njia ya Kumuoa Maana Kuna Mambo Mengi hawayapati Kama haki zao wanawake
pazuri sana huku.
 
Back
Top Bottom