Britain issues travel advice for Tanzania

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Updated 9 September 2011

This advice has been reviewed and reissued with amendments to the Travel Summary and the Safety and Security Crime section (increase in incidents of muggings, bag grabs and express kidnaps resulting in forced ATM withdrawal). There has been an increase in the number of incidents involving express kidnap, muggings and bag grabs, both on the mainland and Zanzibar. We advise both resident and visiting British nationals to remain vigilant at all times. Long distance buses are frequently involved in accidents which can often result in fatalities. If you have concerns over the safety of the vehicle or the ability of the driver, use alternative methods of transport.

Tanzania travel advice
 
Hayo ndio Maendeleo anayojisifia miaka 50 yule Mpangaji wetu anaye nunuliwa suti na mwanamme wenzake
 
<span style="font-family: arial black"><font color="#ff0000"><b>Hayo ndio Maendeleo anayojisifia miaka 50 yule Mpangaji wetu anaye nunuliwa suti na mwanamme wenzake</b></font></span>
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Mkuu Paw umemuachia nani kazi ya kupiga watu ban?
 
Iwapo info zote hizo zinakuwa relayed kwao; je, Mabalozi wetu nje ya nchi wanatuma report gani huku nyumbani, kutahadharisha umma au kwa ajili ya usalama wa Taifa?! Au ni kusubiria mafungu tu?!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mimi nitamnunulia jeans 5.
Ni kweli usafiri wa mabasi ya kwenda mikoani ni balaa, yaani kifo kinakuwa mkononi

Pamoja na hayo nothing serious is being done about it. Kama inafikia nchi nyingine kushauri watu wao wasipande mabasi yetu kwa sababu yanapata ajali mara kwa mara, hili ni tatizo kubwa.
 
Pamoja na hayo nothing serious is being done about it. Kama inafikia nchi nyingine kushauri watu wao wasipande mabasi yetu kwa sababu yanapata ajali mara kwa mara, hili ni tatizo kubwa.

It seems that we dont have government, Police, Trafic, Jeshi, Usalama Wa Taifa na Serikali yao Legelege ipo busy katika kukandamiza wananchi hawana muda huo wakushughulikia maswala muhimu na kwao wanayaona niya kijinga. Wapo Busy kuwarambaramba miguu Mafisadi wa CCM. UWT, Jeshi, Police ni Janga la Taifa kwa sasa
 
Travel advise Britain. Look out for riotes u can be attacked. Make sure you do not visit areas resided by minorities...enjoy youfr trip"
 
Taswira ya taifa kwa wageni inazidi kuharibika...hatua ni vyema zichukuliwe haraka.
 
Mimi nitamnunulia jeans 5.
Ni kweli usafiri wa mabasi ya kwenda mikoani ni balaa, yaani kifo kinakuwa mkononi

Nafikiri kwa ajali ya meli Zanzibar watakuwa tayari wameshawashauri wananchi wao hatari ya usafiri wa maji pia. Na jana nasikia taa za kuongezea ndege zilizima uwanja wa ndege Dar.
 
Back
Top Bottom