Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

mchapafito WAJINGA NDIYO WALIWAO, WACHA WAKALIWE MKUU.

HALAFU JAMAA OFISI YAKE KAWEKA MKABALA NA HQ YA TISS MKUU, AU JAMAA NI TISS PIA!

MNAOPELEKA NAMBA ZENU INBOX HUKO KUWENI MAKINI..

PIA MKILIWA MLETE MREJESHO

HALAFU HAYO MAFUNZO HAYANA TOFAUTI NA MAFUNZO YA BETTING
Jamaa inaonekana unabet hatari! Sa kila siku ukibet uwe unanipa tips nami nifanye yangu, mara kila nkibet naishia kugalagazwa tu na tuhela twangu...

Usinsahau bro!

<> semper fi <>
 
ONTARIO kwenye ratiba yako hebu tufikirie na ambao kibarua ni kutoka saa kumi na moja angalau kuwe kuna darasa la saa kumi na mbili mpaka saa mbili usiku au jumamosi na jumapili.
 
Ha ha ha ha....hivi kwanini watanzania tunapenda slope,wala hatujishtukii

Huyu jamaa ONTARIO mtakuja humuhumu kufungua nyuzi na kumdiss kuwa kawapiga hela zenu

Kinachofanyika hapa ni sawa na mtu kusema awafundisheni kubet meridian..ha ha ha (nacheka kwa dharau!!!)

Haya sasa..from bure to 65K....mtu anaenda kupiga Tshs 19.5M kiulaaaaaaaaaini....he he he

Kila la kheri Forexers

Ova!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unadhani Ontario anafaida Saaaana si nawewe anzisha class lako upige pesa. Angesema dola mia si ndio ungezimia kabisa.

Uwe na moyo wa kukubali juhudi za watu.

Staki discussion.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys let's stick on our focus, sioni haja ya kubishana na mtu asiyejua chochote lkn anataka aonekane anajua kila kitu. They'll ignore now until they'll need it later. It's a matter of time, tusibishane kwa maneno, that's not being smart, tufanye tunachokifanya then baadae results will speak louder, not words.

This is how my morning looks like with my new small account.
49b662071d5c77b8a9439ff0e90c631b.jpg

Mtu asiye na vision anaona mil 19 ni pesa nyingi, hua nasemaga njaa ikiwa tumboni sio mbaya sana, lkn njaa ikipanda kutoka tumboni hadi kichwani, hapo ndio basi tena, taifa tunakua tumepoteza nguvu kazi.

Mtu anashangaa mil 19 lkn hajiulizi kodi ya office nimelipa $21,240 - miezi 6 (tax exclusively), achana na gharama zingine zooote. Sasa kama mil 19 inawatoa roho baadae nitaanza kucharge $100 kwa kila kichwa, kwa mwezi nachukua wanafunzi 400 (piga hesabu afu ujue kua njaa ya kichwank ni sumu mwilini), hapo achana na pesa ninayotrade kwa account yangu kubwa. Hawa wote wanaobwabwaja ni senior traders, and I still hv plenty time to confuse enemies. Watch this space!!
 
Well say ....
 
well said bro, leave dem
we are ready waiting for ur call.
jah bless

Papaa

Maboko likoloee ( mikono iko juu)

Mungu azidi kujujalia mafanikio mengine mengi mengi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu mimi sijawai kubeti kwa hyo sijui kubeti wanafanyaje...ila kuhusu forex trading nimesoma vitabu nimeelewa kwa kiasi kuhusu hii biashara.

Kama kuna vitabu vinatoa elimu ya kubeti naomba uviweke hapa tujisomee mkuu wangu itakuwa umetuongezea fursa nyingine.
Zote ni biashara za kubahatisha kwa kuweka dau.

Uki predict sawa sawa na matokeo unapuna kwa kuzingatia vizio vilivyowekwa, walio predict tofauti na matokeo dau lao linapunwa.

Hivyo vitabu ulivyosoma vina muktadha tofauti na maelezo haya?
 
Guys let's stick on our focus, sioni haja ya kubishana na mtu asiyejua chochote lkn anataka aonekane anajua kila kitu. They'll ignore now until they'll need it later. It's a matter of time, tusibishane kwa maneno, that's not being smart, tufanye tunachokifanya then baadae results will speak louder, not words.

This is how my morning looks like with my new small account.
49b662071d5c77b8a9439ff0e90c631b.jpg

Mtu asiye na vision anaona mil 19 ni pesa nyingi, hua nasemaga njaa ikiwa tumboni sio mbaya sana, lkn njaa ikipanda kutoka tumboni hadi kichwani, hapo ndio basi tena, taifa tunakua tumepoteza nguvu kazi.

Mtu anashangaa mil 19 lkn hajiulizi kodi ya office nimelipa $21,240 - miezi 6 (tax exclusively), achana na gharama zingine zooote. Sasa kama mil 19 inawatoa roho baadae nitaanza kucharge $100 kwa kila kichwa, kwa mwezi nachukua wanafunzi 400 (piga hesabu afu ujue kua njaa ya kichwank ni sumu mwilini), hapo achana na pesa ninayotrade kwa account yangu kubwa. Hawa wote wanaobwabwaja ni senior traders, and I still hv plenty time to confuse enemies. Watch this space!!

Mkuu wala usipate tabu na wabongo... Akili zetu tunazijua wenywe... Tutakuja kuwapa Result,,

Example mimi binafsi, nimeanza kufatilia forex mwaka huu na nimeanza kusoma kidogo but nilichokua nakosa ni hii huduma yako.. nikichek south Africa wanacharge hela nyng sanaa.. nlvyoona kwako 65,000 kwa watu 300 wa mwanzo nkaona ni sawa na bure kabsa... yaan hata ungesema laki kwenda mbelee m ningekujaa.

So brother, tutakuja kwenye launch na tutatoa hyo pesa!
 
Guys let's stick on our focus, sioni haja ya kubishana na mtu asiyejua chochote lkn anataka aonekane anajua kila kitu. They'll ignore now until they'll need it later. It's a matter of time, tusibishane kwa maneno, that's not being smart, tufanye tunachokifanya then baadae results will speak louder, not words.

This is how my morning looks like with my new small account.
49b662071d5c77b8a9439ff0e90c631b.jpg

Mtu asiye na vision anaona mil 19 ni pesa nyingi, hua nasemaga njaa ikiwa tumboni sio mbaya sana, lkn njaa ikipanda kutoka tumboni hadi kichwani, hapo ndio basi tena, taifa tunakua tumepoteza nguvu kazi.

Mtu anashangaa mil 19 lkn hajiulizi kodi ya office nimelipa $21,240 - miezi 6 (tax exclusively), achana na gharama zingine zooote. Sasa kama mil 19 inawatoa roho baadae nitaanza kucharge $100 kwa kila kichwa, kwa mwezi nachukua wanafunzi 400 (piga hesabu afu ujue kua njaa ya kichwank ni sumu mwilini), hapo achana na pesa ninayotrade kwa account yangu kubwa. Hawa wote wanaobwabwaja ni senior traders, and I still hv plenty time to confuse enemies. Watch this space!!

Mkuu watasema sana ila sisi tumejitoa kwa kila kitu. Toka mwezi wa tano mpaka sasa tumesubiri kwa shahuku kubwa sana. Hivyo hakuna wa kutukatisha tamaa. Ile kuvumilia miezi takribani 4 ni sehemu ya mafanikio makubwa kiimani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zote ni biashara za kubahatisha kwa kuweka dau.

Uki predict sawa sawa na matokeo unapuna kwa kuzingatia vizio vilivyowekwa, walio predict tofauti na matokeo dau lao linapunwa.

Hivyo vitabu ulivyosoma vina muktadha tofauti na maelezo haya?

Vina tofauti sana mkuu wangu maana mtu yoyote anaweza kubeti ila sio mtu yoyote anaweza kuwa forex trader..Maana yangu hapa ni kuwa hata kama mtu hajui kusoma na kuandika anaweza kubeti ila huyo mtu hawezi kamwe kutrade forex.
 
Je anaye beti na anaye trade hawatabiri matokeo kwa kuweka dau?
 
Wengi wanataka ingia ila hawataki toa hela na ukiwaambia wanatakiwa wekeza 250 usd wataongea hao
Afu wengi hata hawajui nini kinafanyika ila sababu wamesikia kuna uwezekano wa kupata dollar 100 kwa siku kila mtu huyooo
 
Back
Top Bottom