Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

Umejitahidi kutumia busara zako zote lakini umekosea sana kwa hitimisho lako la kunipa vitisho mkuu! Mimi sitishwi asee na wala hamna popote nilipovunja JF rules, so kaa mbali na mimi!

Hakuna anae kutisha tatizo ni moja tu Mkuu unajitoa ufahamu, forum hii inakutanisha watu wengi wenye uelewa tofauti sana ni vizuri unapotoa hoja zako usitoe kwa kubeza watu haipendezi, kikubwa ni heshima na kuvunja rules za JF hiyo si kazi yangu Mods wapo wanaona.

Hata wewe unatumia vitisho kuniambia kaa mbali na mimi, na kwa taarifa yako tu hata mimi sitishwi na watu wa kariba yenu, unachokiandika ndicho kilicho kichwani kwako unaonekana mweupe peeee!! Sasa hiyo ni dalili tosha kuwa uzito wako ni mdogo na ndiyo maana unashindwa kuielewa Forex kwa urahisi.

Nikupe pole kwa kuwa nishaijua busara yako kwa hiyo hili ndiyo jibu lako la mwisho na hautaniona nakujibu tena wewe maana watu hawataona tofauti kati yetu!!!!
 
Ni vizuri ukae kimya unapoona post zangu, Jiulize kwani ni wewe peke yako unaona post zangu hamna wengine? Mbona unakuwa na kiherehere?
 
48274aec0d21e261b4a5829230c2c534.jpg

For no reason
 
Nahitaji hii training but nipo mkoani. utanisaidiaje?
Mimi si msemaji wa The Million Team ,Ila nakushauri uwasiliane nao kwa namba ya secretary wao.
Kuna ndugu yangu yupo Geita nilimpa ushauri kama huu akaufanyia kazi,na sasa ameunganishwa na group la TMT pia amepanga kuja wiki ya mwisho ya training ya wiki moja kwa wale 300 wa awali
 
Wakuu habarini jamani,,nimekua nikikumbana na posts kuhusu forex trading ,na kwa mara ya kwanza nilipata kuisikia nikiwa form two mwalimu wetu wa maths alitudokezea ila kipindi kile sikuitilia maanani ila as time passed by pressure ikaongezeka.. nikaona its time na mimi nijitose kuingia kwenye hii business ila unfortunately sina knowledge sana about how it goes, im currently studying Bachelor of commerce in Accounting at the university of dar es salaam,, so generally about forex i have some ideas about it but i lack the knowledge particularly in the trading aspect... Naombeni mnipe mwanga au sources za mimi kuniwezesha kuimaster ndani ya miezi michache.. asanteni sana na mbarikiwe...
Karibu JANGID PLAZA TMT [HASHTAG]#fornoreason[/HASHTAG] to acquire the most knowledge
 
Back
Top Bottom