Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

Taarifa kuhusu sintofahamu iliyotokea Jumatano, Sept 13 2017

Ningependa kuweka jambo hili sawa juu ya kile kilichotokea ofisini kwetu TMT.

Kwanza nitoe pongezi nyingi kwa serikali na vyombo vyake vyote vilivyofika ofisini kwetu kwa kusudi la kujiridhisha na operations zetu kwa kuweza kusimamia haki na sheria.

Mnamo tarehe 13.09.2017 tulipata ugeni wa kushtukiza ofisini kwetu Oysterbay, Jangid plaza, ambapo maafisa wa idara mbali mbali walifika ili kujua shughuli tunazozifanya na uhalali wake.

Tulitembelewa na watu kutoka Makao makuu ya usalama wa taifa (TISS), polisi na wapelelezi kutoka Kituo cha polisi cha Oysterbay, afisa kutoka idara ya kazi na ajira, maafisa kutoka TRA - Mwenge, maafisa kutoka uhamiaji, maafisa kutoka wilayani, watumishi wa serikali za mtaa.

Maafisa wa usalama wa taifa walipata taarifa za uzushi ya kwamba kampuni yetu ya TMT inafanya shughuli za kitapeli, na kwamba tunaoperate bila kufata sheria na utaratibu wa nchi, sasa maafisa wa usalama walifika ili kujiridhisha na taarifa hizo walizozipata awali hivyo iliwalazimu kushirikiana na idara zingine zote ili kupata taarifa sahihi.

Haya ndio yalikua maafikiano ya mwisho, baada ya upelelezi kuisha

1. Operations zetu hazina chembe yoyote ya kitapeli, hivyo tulipata go ahead ya kufanya tunachokifanya kwa manufaa ya Watanzania.

2. TMT inaoperate kwa kufuata sheria na utaratibu wa uendeshaji wa kampuni za kitanzania

3. TMT ilipatikana kuwa 100% clean kwa mujibu wa TRA, kwamba japo ni kampuni mpya na changa ulipaji kodi wetu ni wa kiwango kizuri.

4. Polisi hawakuona tatizo lolote la kipolisi kuhusu operations zetu.

5. Maafisa wa manispaa ya kinondoni pamoja na serikali za mitaa hawakuona ukiukwaji wowote wa sheria ktk uendeshaji wa kampuni ya TMT

6. Maafisa wa immigration hawakutucharge na offence yoyote kuhusu njia iliyotumika kwa mentors kuingia nchini na muda wao kuwepo nchini.

Kiuhalisia Forex is a legal business and TMT is a legal Tanzanian company.

Aidha kuna vitu kadhaa ambavyo tulishauriwa kutimiza kabla hatujaendelea na operations zetu ikiwemo
●kutafuta business permits kwa ajili ya mentors wetu. kwasasa permits hizo zimeshapatikana

●pia tulishauriwa kuwa temporary invoice wakati tukiprocess EFD machine. Tayaru tunazo invoice na jumatatu tutakua tayari tumepokea EFD machine.

From now onwards the office is up and running. We are open from Monday - Friday saa 2 asubuhu hadi saa 1 usiku. Ofisi ipo Oysterbay Jangid plaza, plot no. G6, Chaburuma road, Ali Hassan Mwinyi road.

Zaidi ya yote napenda kuwashukuru wote waliokua nasi kipindi hiki chote, let's keep working together and results will speak for us. Thanks!

Good day ahead!!
Umefanya jambo jema kuleta mrejesho kwa yaliyotokea. Niwapeni pole pia niwapongeze kwa jambo mnalofanya!!
 
I hail you my boy, you are unstoppable! I am glad TMT is free from all nonsensical allegations.

Haters wameshindwa sasa nahisi this time watatumia uchawi na bado pia watashindwa vile vile manina zao.
 
Amen
37bbb16ac3d44fa28faf0229ae30f377.jpg
 
sometimes una zingua chief kinyama yaan ishu kama hauko interested achana nayo maana mara kwa mara unapenda kujileta uchafue hali ya hewa umu!!
Hapana siyo hivyo mkuu, ukiangalia kumbukumbu zangu nilikuwa nasapoti sana hii ishu toka mwanzo ila kadri siku zinavyoenda naona maruweruwe tu labda nitaelewa baadae sana
 
Back
Top Bottom