Bring back our money

Christina84

Member
Aug 5, 2017
74
50
hello wanajamvi,

hii thread ina lengo la kumuhimiza mkuu,

kutaifisha mali zote walizochukua mafisadi,

asiwapeleke mahakamani,

ni wastage of time and resources,

since,wata hire expensive lawyers na hata hakimu anaweza kuhongwa,lol

mafisadi wakirudisha mambo mengi ya kimaendeleo,yatakuwa financed.

na nyie mafisadi mjiandae,kama mbwai mbwai,

haiwezekani uwe stinking rich,afu wananchi wanaokuzunguka wanaishi maisha ya kifukara,

mkuu ukiwatungua,hata watu wengine hawatafanya ufisadi,wakijua wao ama vizazi vyao vitakuja kulipizwa,

tunamuona Makonda ameanzisha miradi kibao,huku wengine mkimkejeli, kuwa project zake haziishi,nahisi mambo ya finance kwenye office yake ndio magumu,

tukipewa hela za mafisadi,ziende moja kwa moja kwenye miradi ya maendeleo....................:D:D:D:D,

tunasema kabisaaaaaaaaa leo fisadi X tumetaifisha kiasi Y,ambazo zitasaidia project W,:D:D:D:D:D:D

bila uwazi na uwajibikaji,hizo hela zinaweza zikaishia kwa vifisadi vingine:D:D:D:D

haya lets goooooooooooo....

Fisadi number moja,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,????:rolleyes:
 
Mambo huwa hayaendeshwi hivyo. Tukiwa na mawazo kama hayo risasi zitatumika hadi uombe pooh! Haiwezekani uendeshwe na hisia tu halafu upore vitu vya watu. Itakugharimu as twice as much!
 
hio sio kupora,hio inaitwa kuchukua kilicho chetu, eti vya watu??? vya kwao au vyetu wote?
 
Back
Top Bottom