Bring back Beni saa-nane

onkoko

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
514
480
Hiii yote natoa pendekezo ambalo limetokana na kupatika na kwa Roma MKatoliki - Free our lovely and most missed man in the world . Kampeni hii iendane pamoja na kuanzisha chama ambacho kitatetea maslahi ya vijana ambao awamu hii wamezarauliwa sana. Chama hicho kiitwe economic and political reform for youth. Nawasilisha hoja kwa mjadala mpana ili kila kijana wa nchii hii apate fursa sahihi kwa wakati sahihi.

Igweigwe
Umofia
Kwenu
Men will not become women
Those who will stay and fight will enjoy meaningfully life.
 
"Ben saa nane anaonekana vijiwe vya kahawa na rafiki zake""

SAED KUBENEA, mbunge ubungo kupitia chadema
Tunahitaji iwekwe wazi na sio kwa hisia za mtuu.
We need genuine evidence.
 
Nguvu iliyotumika kwenye ishu ya ROMA ilijengwa kwa minajili ya Kisiasa na Kijamii
Na kwa bahati nzuri, jamii ya watu wengi wenye mitazamo na itikadi tofauti wameonekana kuguswa vya kutosha.
Hii n tofauti kidogo na Ben. Licha ya baadhi ya watu kutambua umuhim wa Ben na Utu, lakini kulikuwa na PAZIA la Kisiasa.
Kwa wale waliokuwa upande wa akina Ben walipaza sauti kwa nguvu zao zote...
Wakati huohuo, waliokuwa upande tofauti haikuwahusu sana.

Lakini kiubinadam, ipo haja ya kuanza upya mchakato wa kumtafuta Ben na hata mwingine yeyote aliyepotea katika mazingira kama hayo.
 
Tukia amua kwa dhati na kwa umoja na nguvu zote watamrudisha kijana mwenzetu hata kiwa mifupa nayo tunaihitaji kwa gharama zote. Cha msingi vijana tuungane ili kijana mwenzetu apatikane akiwa hai ama mfuu.
Still we have ample time to stand for our Beloved Ben Saa Nane.
Kwa sasa naelekea Jerusalem kuhiji nikirudi nitawapa mwelekeo.
 
Back
Top Bottom