Brightness control Siioni kwenye laptop

Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,318
401
Wakuu nina Toshiba laptop napata shida sana na mwanga.Nimejaribu Fn na ile symbol ya mwanga hai respond chochote.Nimeenda kwenye Power option nako sijafanikiwa.Naombeni msaada wenu wakuu.Muda si mrefu itabidi ninunue miwani
 
Mzinga njia ulizojaribu ndio zinazotumika. Kama fn na hizo button za mwanga hazikusaidii basi tatizo linaweza kuwa drivers za hizo "touch pad" hakikisha driver zipo updated. Je, Ukipunguza sauti kwa kutumia fn na button za sauti sauti huwa kuna mabadiliko yoyote? kama hakuna basi kutakuwa nashida kwenye drivers. Pia hujasema hiyo Toshiba ni model gani na unatumia OS gani. Unaposema huioni brightness control unamaanisha nn wakati umesema kabisa kwamba unabofya fn na key za brightness.
 
Last edited by a moderator:
Kama uko na winxp hama nenda win7 au 8.napata tatizo hilo nikiweka winxp kwenye hp635.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Mkuu natumia Toshiba c850 win 7.Mkuu keypad nikijaribu hazifanyikazi Kama nilivyoeleza hapo mwanzo.Na hiyo ndo njia nilizoambiwa
Mzinga njia ulizojaribu ndio zinazotumika. Kama fn na hizo button za mwanga hazikusaidii basi tatizo linaweza kuwa drivers za hizo "touch pad" hakikisha driver zipo updated. Je, Ukipunguza sauti kwa kutumia fn na button za sauti sauti huwa kuna mabadiliko yoyote? kama hakuna basi kutakuwa nashida kwenye drivers. Pia hujasema hiyo Toshiba ni model gani na unatumia OS gani. Unaposema huioni brightness control unamaanisha nn wakati umesema kabisa kwamba unabofya fn na key za brightness.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nina Toshiba laptop napata shida sana na mwanga.Nimejaribu Fn na ile symbol ya mwanga hai respond chochote.Nimeenda kwenye Power option nako sijafanikiwa.Naombeni msaada wenu wakuu.Muda si mrefu itabidi ninunue miwani

Nilidhani tatizo hili linanikumba peke yangu. Bila miwani na hizi ofa za usiku bila shaka macho yetu muda si mrefu yata haribika. Ngoja na mimi nicheki kama ni hizo drivers au walio desgin hizi toshiba walikuwa na lao jambo. Maana kila solution ninayo tumia, mwanga unabaki palepale.
 
Kuna driver moja intel graphic nimeinstal lakini niki restart comp inawaka lakini screen Ina kataa kudisplay.Imenibidi ni iondoe ndo ikawaka tena.Toshiba C850 Win 7
 
press windows key na X, utaona controls za brightness na vitu vingine kama wi-fi etc
 
Back
Top Bottom