Brian umony atua azam

Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,148
2,219

Kwa habari toka kwenye Facebook account ya Azam FC na tweeter Yao ni Kuwa mshambuliaji wa Uganda Cranes Brian UMONY ametua Azam ingawa bado hawajaweka ni Mkataba wa muda gani na wa KIASI gani.... Je is this right move kwa Azam au yaleyale ya kuleta maproo mizigo?
 
mimi nilidhani hawa azam wanapromote vijana kutoka academy yao wenyewe ili kukuza vipaji,mhh haya lete mitumba na sisi tuvae.
 
ndio maana hata soka la tanzania halikui kwa sababu hii tunawalea vijana kwenye ma academia kama zinavyoitwa lakini baada ya muda wanapotea kwa sababu hawathaminiwi jee hii ni haki?kweli kuna maajaabu duniani.jee na uhai kup ni mradi wa mtu au ?
 
Angekwenda Lunyasi msingeongea haya yote ila kwa kuwa for another time Al Shabab kapigwa bao ndio mnaongea mbona nyie hamuwa promote wenu kina singano na edo mmekwenda kumlipa mkwanja mrefu Okwi
 
kwa hiyo azam, simba na yanga gonjwa moja..tulidhani azam amekuja kutuokoa watanzania kumbe walewale.
 
Sioni ni kwa nini Azam muwashambulie hivyo. Umony ni mchezaji wa kiwango cha juu na ndio maana hata msomali alitamba kumsajili pamoja na kipa wa uganda. Tutegemee machozi ya msomali. Simba mnalo mwaka huu.
 
Nimeangalia mashindano ya chalenji ukweli Umony mmojawapo wa washambuliaji makini kwa ukanda huu. Azam wakimtumia vizuri atawasaidia. Suala la kung'ara au kutokung'ara kwa mchezaji inategemea na mazingira na mfumo wa timu inoutumia na mara nyingine aina ya wachezaji atakaokutana nao hapo azam. Ila kiukweli mimi namkubali Ssentongo kuliko hata Okwi na huyo Umony. Kwa hiyo Rage aache kulia asahau yaliyopita kama Simba ina nafasi imchukue Ssentongo kwa sababu sasa hivi yupo juu toka yale mashindano ya klabu afrika mashariki na kati na hata chalenji kacheza vizuri sana.
 
Tatizo timu za tanzania ni kama zinaendeshwa na w2 wasoenda shule,ligi ni tofauti na hii michuano ya wiki mbili,utampimaje mchezaji kwa mechi za somalia na eriteria na kilimanjaro stars,jamaa hawawafanyiag majaribio wala kuwafanyia vipimo vya afya,huyo jamaa anainjury za mda mrefu,ngja tusubiri tuone,ila inauma sana kuona almost wachezaji wa hzi nch nyngne wanachza kwnye lig yetu sie tukiwa atuna hata moja!ila poa tu!
 
Waacheni na Azam wasajili kidogo banaaaa Kila siku Simbaaaaaaa simba simbaaaa simbaaa.....au Yangaaaa yanga....yangaaaaaa yanga...tumechokaaaa!
 
mimi nilidhani hawa azam wanapromote vijana kutoka academy yao wenyewe ili kukuza vipaji,mhh haya lete mitumba na sisi tuvae.
ishu ni kukomoana kwendaq mbele wamemchukua baada simba kutaka kumchukua.....jino kwa jino.....kipre boko wa nini sasa huyo
 
Waacheni na Azam wasajili kidogo banaaaa Kila siku Simbaaaaaaa simba simbaaaa simbaaa.....au Yangaaaa yanga....yangaaaaaa yanga...tumechokaaaa!
azam wanasajili sana pengine kuliko hata simba na yanga
 
Angekwenda Lunyasi msingeongea haya yote ila kwa kuwa for another time Al Shabab kapigwa bao ndio mnaongea mbona nyie hamuwa promote wenu kina singano na edo mmekwenda kumlipa mkwanja mrefu Okwi
wapromotiwe mara ngapi mkuu
 
ndio maana hata soka la tanzania halikui kwa sababu hii tunawalea vijana kwenye ma academia kama zinavyoitwa lakini baada ya muda wanapotea kwa sababu hawathaminiwi jee hii ni haki?kweli kuna maajaabu duniani.jee na uhai kup ni mradi wa mtu au ?

uhai cup inatoa vipaji ila roho mbaya nakujiona wanataka uzungu ndio kinatusumbua hapa tz..
 
Back
Top Bottom