BREVIS VVTI

hansunique

New Member
Jan 4, 2018
3
1
Habari wakuu

Nahitaji kujua katika hizi gari aina ya Brevis, engine zake zote ni VVTI au kuna baadhi ya engine sio VVTI...na ukiwa na brevis VVTI ulaji wake wa mafuta ni sawa na brevis ya kawaida ambayo engine yake sio VVTI?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom