Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

hz zote takataka mkuu.. gari za kufanana kama bikin... tafuta hyundai sonata 3 au 4.. tafuta benz compressa.. au hata subaru impreza..
Nashukuru Mkuu nazidi kupata experience ya Magari bora zaidi, ngoja na hayo niyaweke kwenye orodha
 
Boss mbona unatisha watu mkuu, na torque,horsepower,rmp acha izo mkuu, brevis na alteza zote ni toyota sema alteza ina engine nyingi tofaut sana, 3S GE haiwezi hata siku moja kukimbiza 1JZ GE lamda iwe 3S GTE hapo nitakubali coz inakuwa na turbo ambazo ni chache sana kati ya alteza 10 unazo ona hapa tz lamda moja ndio ina iyo engine 3S GTE alafu alteza watu wanaswap engine na kuweka engine ya 1JZ GTE ambayo ina turbo so hapo ndio unakuta alteza ina nguvu balaa
Bt brevis mkuu ni mashine kubwa coz iyo 1JZ GE(2500CC) na 2JZ GE (3000CC) kavu izo hazina turbo lakin ni balaa alteza nyingi sana hasiwezi huo moto lamda zilizo na turbo ndio zinaweza kusumbua brevis
For me brevis ni gari nzur sana kuliko alteza kutoka kwny engine mpaka comfutabiliy
Simtishi mtu kaka nimesema nina altezza 3S GTE na progress 2JZ 3.0 FDE kwa safari nikiwa na hizo mbili altezza inanihamasisha zaidi nyepesi.
 
Gari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
 
Una uhakika na ukisemacho

Umewahi kukutana na altezza 3S GE cc 1998 au altezza Gita 2JZ ila hiyo brevis yako cc 2500 ukimfukuza utaambulia moshi tu.

Brevis mark 2 grand caldin za kike na kizee mjini umewahi kuona mzee anaendesha altezza kamawapo wanahesabika kwani haiwapendezi ila brevis hata babu yangu anayo maana nzito.

Kwa kijana kama pochi ipo opt for altezza you wont regret safari ipo ina balance body ngumu isifuate inavyoimba ukiifuata tunakuokota kwenye mtaro.
 
Wakuu naomba msaada wa wa magari hayo manne ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya Kijana wa kileo, namaanisha ipo multipurpose kwa kutoka nayo out, Speed ikiwezekana unapotaka kutembea Mkoa hadi Mkoa na shughuli za pori kiasi!?
Mbona hujaijumuisha ford ranger au mm ndo mshamba wa magari
 
Back
Top Bottom