DH INVESTMENT
Member
- Jul 12, 2017
- 25
- 32
SUBARU ni habari nyingine aiseeNIliiacha mbali sana from dsm to mbeya mm nilikuwa na subaru wrx kama wahifahamu
SUBARU ni habari nyingine aiseeNIliiacha mbali sana from dsm to mbeya mm nilikuwa na subaru wrx kama wahifahamu
Karibu kwenye familia ya fuji heavy industries. (Subie)Nashukuru Mkuu ndio niko mbioni niipate Subaru Forester naona Wakuu wengi wanaisifiA
jaman na mie mwenye escudo 16valve ya mwaka 2004 je!?.nawekwa kundi gan hapoKaulize kwanini watu wanalilia toyota supra 1996/7 mpk leo
Vitz ndio mpango mzima
au suzuki escudo huwa haikwami mahali milele.na rafu road ndiyo lami yake.Nunua Rav4 old model..unawaza shughuli za pori kwa Brevis nani alikudanganya
" shughuli za pori kiasi!?"
Simtishi mtu kaka nimesema nina altezza 3S GTE na progress 2JZ 3.0 FDE kwa safari nikiwa na hizo mbili altezza inanihamasisha zaidi nyepesi.Boss mbona unatisha watu mkuu, na torque,horsepower,rmp acha izo mkuu, brevis na alteza zote ni toyota sema alteza ina engine nyingi tofaut sana, 3S GE haiwezi hata siku moja kukimbiza 1JZ GE lamda iwe 3S GTE hapo nitakubali coz inakuwa na turbo ambazo ni chache sana kati ya alteza 10 unazo ona hapa tz lamda moja ndio ina iyo engine 3S GTE alafu alteza watu wanaswap engine na kuweka engine ya 1JZ GTE ambayo ina turbo so hapo ndio unakuta alteza ina nguvu balaa
Bt brevis mkuu ni mashine kubwa coz iyo 1JZ GE(2500CC) na 2JZ GE (3000CC) kavu izo hazina turbo lakin ni balaa alteza nyingi sana hasiwezi huo moto lamda zilizo na turbo ndio zinaweza kusumbua brevis
For me brevis ni gari nzur sana kuliko alteza kutoka kwny engine mpaka comfutabiliy
Gari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
Una uhakika na ukisemacho
Umewahi kukutana na altezza 3S GE cc 1998 au altezza Gita 2JZ ila hiyo brevis yako cc 2500 ukimfukuza utaambulia moshi tu.
Brevis mark 2 grand caldin za kike na kizee mjini umewahi kuona mzee anaendesha altezza kamawapo wanahesabika kwani haiwapendezi ila brevis hata babu yangu anayo maana nzito.
Kwa kijana kama pochi ipo opt for altezza you wont regret safari ipo ina balance body ngumu isifuate inavyoimba ukiifuata tunakuokota kwenye mtaro.
Inategemea na dereva unayefukuzana nae...mimi nikikamata usukani wa Brevis usijisumbue kunifata nyuma nitakusababishia ajari bure.
Mbona hujaijumuisha ford ranger au mm ndo mshamba wa magariWakuu naomba msaada wa wa magari hayo manne ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya Kijana wa kileo, namaanisha ipo multipurpose kwa kutoka nayo out, Speed ikiwezekana unapotaka kutembea Mkoa hadi Mkoa na shughuli za pori kiasi!?
Hajui huyo aelimishweKaulize kwanini watu wanalilia toyota supra 1996/7 mpk leo