igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 952
- 1,471
Shughuli za pori tafuta rav 4 old model 3S[/QUOTE]_________________________________
Hayo magari hayafai kwa shughuli yoyote ya pori kwa kiasi chochote.
Amen.
Shughuli za pori tafuta rav 4 old model 3S[/QUOTE]_________________________________
Hayo magari hayafai kwa shughuli yoyote ya pori kwa kiasi chochote.
Amen.[/QUOTE]Shughuli za pori tafuta rav 4 old model 3S
Amen.
Kwenye option zake hizo gari unazozitaja hazipo.[/QUOTE]RAV 4 habari nzito ukiipata old model haifi kizembe.
Au suzuku samurai sema kwa safari haina mwendo
Kaka kuna vintage cars ..za miaka ya 70 na bado zinafetch higher prices kuliko hizi fiber baskets..mark II ni outdated
Kila mwenye chaguo la gari husika anatakiwa aje na facts kama hizi hakika itapendezaUshawahi angalia engine ya altezza 3S umewahi pima cc za piston yake moja ukalinganisha na hizo sita za brevis unajua rpm ya tezza na brevis zipoje unajua altezza ina torque kiasi gani unajua dif yake ipoje unajua giabox yake ipoje kulinganisha na brevis unajua ina gia ngap na inachage gia baada ya rpm ngap na hizo rpm unazipata kwa sekunde ngap ukilinganisha na brevis njoo kwenye Horsepower ya altezza na hiyo brevis angalia na mzigo inaobeba body ukiangalia hapo ukafanya ka research kadogo tu utaelewa tofauti ya gari hiyo brevis na altezza. Altezza level yake ni BMW angalia mafuta angalia tyre altezza zote zina low profile tyre kwa ajili ya racing drifting.
Mimi na progress na hiyo altezza sasa brevis na progress nan ametengenezwa kam copy ya benz.
Hapo sijazungumzia altezza zenye injini 1G na 2JZ sijawahi tumia hizo
Nadhani una maanisha vi baby walkerGari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
Nini vitz au passo?Nadhani una maanisha vi baby walker
Siwezi kubishana naww toka uanze kumili gari ndo Gari yapili hiyo .Gx 80.Gx 100.gx 110 .Gx 120 .nahiyo Alteza pia ni Gx .mm nimetumia Gari zote zajapan unazozijua na unazopishananazo barabarani .nasema hivi huwezi kuifananisha alteza na brevis .kama unataka ligi njoo mm nitakupa alteza yoyote unayotaka mpya kabisa kisha mm nichukue brevis .twende pale bunju kwanzia SAA 6 usiku magari hakuna kisha twende bagamoyo atakaewai kurudi bunju .ila tunaweka mzigo mezani kila MTU ml 5 .Ushawahi angalia engine ya altezza 3S umewahi pima cc za piston yake moja ukalinganisha na hizo sita za brevis unajua rpm ya tezza na brevis zipoje unajua altezza ina torque kiasi gani unajua dif yake ipoje unajua giabox yake ipoje kulinganisha na brevis unajua ina gia ngap na inachage gia baada ya rpm ngap na hizo rpm unazipata kwa sekunde ngap ukilinganisha na brevis njoo kwenye Horsepower ya altezza na hiyo brevis angalia na mzigo inaobeba body ukiangalia hapo ukafanya ka research kadogo tu utaelewa tofauti ya gari hiyo brevis na altezza. Altezza level yake ni BMW angalia mafuta angalia tyre altezza zote zina low profile tyre kwa ajili ya racing drifting.
Mimi na progress na hiyo altezza sasa brevis na progress nan ametengenezwa kam copy ya benz.
Hapo sijazungumzia altezza zenye injini 1G na 2JZ sijawahi tumia hizo
Sasa umeanza KIK gari zote ambazo zipo barabarani za Mjapan umetumia?? Duh Kik hizi bwana mbaya, au nawe ndio walewaleSiwezi kubishana naww toka uanze kumili gari ndo Gari yapili hiyo .Gx 80.Gx 100.gx 110 .Gx 120 .nahiyo Alteza pia ni Gx .mm nimetumia Gari zote zajapan unazozijua na unazopishananazo barabarani .nasema hivi huwezi kuifananisha alteza na brevis .kama unataka ligi njoo mm nitakupa alteza yoyote unayotaka mpya kabisa kisha mm nichukue brevis .twende pale bunju kwanzia SAA 6 usiku magari hakuna kisha twende bagamoyo atakaewai kurudi bunju .ila tunaweka mzigo mezani kila MTU ml 5 .
Mm nauza magari kwahiyo sioni kama nikiki .labda Niki kwako .nikaziyangu nibiaashara yangu .naukakika nakitu nachokiongea .Sasa umeanza KIK gari zote ambazo zipo barabarani za Mjapan umetumia?? Duh Kik hizi bwana mbaya, au nawe ndio walewale
Kwahiyo ukiuza gari ndio kwamba zote umeendesha mkuu, duh sema ume drove most of Japanese cars bt not all cars,Hapo ntabishaMm nauza magari kwahiyo sioni kama nikiki .labda Niki kwako .nikaziyangu nibiaashara yangu .naukakika nakitu nachokiongea .
Tochi zilikua wapi wakati unaiacha mbali sana?,au tochi zinachagua mabus tu ?NIliiacha mbali sana from dsm to mbeya mm nilikuwa na subaru wrx kama wahifahamu
ipoHivi Brevis haipo ya rangi nyeusi?
Ushawahi angalia engine ya altezza 3S umewahi pima cc za piston yake moja ukalinganisha na hizo sita za brevis unajua rpm ya tezza na brevis zipoje unajua altezza ina torque kiasi gani unajua dif yake ipoje unajua giabox yake ipoje kulinganisha na brevis unajua ina gia ngap na inachage gia baada ya rpm ngap na hizo rpm unazipata kwa sekunde ngap ukilinganisha na brevis njoo kwenye Horsepower ya altezza na hiyo brevis angalia na mzigo inaobeba body ukiangalia hapo ukafanya ka research kadogo tu utaelewa tofauti ya gari hiyo brevis na altezza. Altezza level yake ni BMW angalia mafuta angalia tyre altezza zote zina low profile tyre kwa ajili ya racing drifting.
Mimi na progress na hiyo altezza sasa brevis na progress nan ametengenezwa kam copy ya benz.
Hapo sijazungumzia altezza zenye injini 1G na 2JZ sijawahi tumia hizo
wenye aleji ma Toyota imebidi tukae kimya