Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Salih

JF-Expert Member
Jan 31, 2013
619
401
Wakuu naomba msaada wa wa magari hayo manne ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya Kijana wa kileo, namaanisha ipo multipurpose kwa kutoka nayo out, Speed ikiwezekana unapotaka kutembea Mkoa hadi Mkoa na shughuli za pori kiasi!?
 
hizo zote ni gari Imara sana za chini, ila kwa hyo list ningechagua kama ifuatavyo;
1) Brevis
2)Altezza
3)Grande 110
4)Caldina
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom