BRELA yakana kuuziwa software Tsh 1bn! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BRELA yakana kuuziwa software Tsh 1bn!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jaluo_Nyeupe, Feb 21, 2011.

 1. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, msajili wa makampuni amekana habari zilizotolewa na mtandao mmoja nchini (bila shaka JF) kuwa Brela wamenunua software kwa Tsh 1bn kutoka kwa kampuni ya uwakili ya Mawala.

  Source: chanel ten habari.
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hizo Software ni Ghali inaeleweka kwa watu wasiojua kuna shughuli wakuwaelimisha
   
 3. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na wewe kuwa software hizo ni ghali lakini kwanza ilitakiwa huyo jamaa (Mkurugenzi) atueleze kama:

  1: Wamenunua propriety software au;
  2: Wametengeneza ya kwao from scratch.

  BTW: Bado 1Bn. Tsh. ni nyingi sana kwa quality ya software waliyonayo mimi binafsi nimeijaribu na nikagundua mapungufu mengi sana. Kwa mfano bado mtu huwezi kukamilisha usajili wa kampuni papo kwa papo, kwa maana nyingine bado kuna vitu vingine unatakiwa kuvifanya manually....
   
 4. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Huu mchezo mchafu na navowajua Matajiri Lazima ishu ifie hewani. M advocates wajanja sana jamaa hata ajira na internship anatoa kwa mademu na watu anaojua watamsaidia bdae mfano Rehema kitambi .hebu Msando atupe data
   
 5. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe mkuu! Zaidi ya kufanya online search ya Business name na Company Details hakuna cha ziada. Suala la ku register kampuni siku tatu ni uongo wanaouhubiri ili ku justify wizi wao period. Msiandikie mate na wino upo, tembelea website ya Brela Kisha uniambie hizo facilities zaidi ya nilizozitaja hapo juu ni zipi?

  <br />
  <br />
   
 6. R

  RAY DONOVAN Senior Member

  #6
  Oct 7, 2016
  Joined: Jul 2, 2015
  Messages: 144
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  hili ni jipu na wanatuchelewesha na urasimu
  Tangu lini ku search for simple info watu wakafanya registration? wanataka namba za sim, majina na verification ndio naweza kusearch business name online

  Imagine google wakwambie kuwa kabla hujafanya search lazima uweke namba zako za sim majina yako nk ndio utaweza kufanya business name search...ontop unalipishwa elf 20

  ningekuwa na register kampuni au nafanya returns au nabadili jina la kampuni I would have understood the concept of registration na kuweka personal details zangu

  MFANO HUU HAPA CHINI NIMEINGIA KWENYE WEBSITE YA SEC YA USA AMBAYO UNAWEZA KU SEARCH MAJINA YA KAMPUNI ZOZOTE BILA KUAMBIWA UWEKE PRIVATE INFO

  USHAHIDI HUUU HAPA:

  http://www.sec.gov/edgar/searchedgar/companysearch.html
   
Loading...