BRELA ni jipu kwa kweli au ninyi mnaonaje?

Burgor master

New Member
Jul 22, 2018
1
2
Brela ni jipu kwa kweli au nyinyi mnaonaje?? Maana kufile annual return inaweza chukua hata 6weeks. Wemeweka manamba ya simu kwa website ýao Lakin hazipokewi, halafu ni kama hawakujipanga na reno teknohama au ndo walizoea rushwa huudumiwi mpaka utoe kitu, Sasa wanakwamishi hii online system. Hivi hamna sop, mtu toka alete mambi mpaka kujibiwa? ?
 
Kwa kweli tunaogopa kuzisema taasisi za serikali. Lakini hili la brela uko sahihi sana.
Halafu wanachelewesha na system inafuta ulichofanya baada ya muda fulani. Hata kama umeshalipia.
Program ni nzuri ila utendaji wa ndani ndio una kasoro. Tatizo la proram ni hapo kwenye kufuta baada ya muda fulani.
 
Uko sahihi mkuu kama wasomajibwapo humu walifanyie kazi. Hata kusajili Kampuni ni tizi ni Mara mia turudi tulikotoka ili wapate muda wa kujipanga na tekinolojia ambayo kwakweli ilikuwa nzuri ila changamoto zimekuwa kubwa kuliko ufanisi
 
b8b7d751-64a7-4f60-aba9-e26ef1a41fd4.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom