Tetesi: Brela kwafukuta, Hali si shwari mapato

mwanamichakato

JF-Expert Member
Mar 20, 2015
886
703
Brela,Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya taasisi kongwe inayopaswa kuliingizia taifa fedha nyingi kupitia tozo na malipo mbalimbali yahusuyo usajiri wa biashara,makampuni,viwanda,haki za kibiashara na uhakiki husika.

Tuhuma za wizi wa tozo na malipo katika taasisi za serikali kupitia mabenki hasa yenye mifumo ya uhakiki wa kitehama limekuwa tatizo lenye mizizi na vyombo vya usalama vyapaswa kutupia jicho la tatu na la nne ili kuepusha fedha za umma kudumbukia katika mifuko ya wenye uchu wa kujitajirisha pasipo kujali maendeleo ya taifa.Mfano wizi wa tozo za mamlaka ya bandari { TPA}kupitia mabenki yenye heshima ni moja ya madoa ktk mifumo inayotumika.

Makampuni na biashara nyingi zimekuwa zikisajiriwa na taasisi yetu pendwa ya Brela kila iitwapo leo {siku za kazi} na malipo kufanyika kupitia akaunti kadhaa kama ambavyo imekuwa ikiainishwa kupitia ankara zinazotolewa kieletroniki kupitia mfumo wa tehama na baada ya wateja kuweka pesa katika akaunti husika taarifa za ujumbe mfupi uingia katika simu za viganjani kuthibitisha kupokewa kwa malipo husika na risiti yenye nembo ya BRELA hutolewa baada ya mteja kuwakirisha hati ya malipo benki hivyo mchakato wa usajiri kukamirishwa baada ya siku mbili mpaka tatu ila kwa wenye haraka sana na wenye kutoa sadaka ndani ya siku moja kila kitu kinaweza kukamirishwa{pongezi kwa maboresho kwa muda unaotumika kuwa mchache tofauti na huko nyuma}.

Inasemekana pamoja na mihamala mingi kufanywa na makampuni mengi kusajiriwa lakini fedha zilizopo kwenye akaunti za BRELA haziwiani na zinazopaswa kuwepo kwa maana zilizopo ni chache mnoo..Kasheshe!!!.Wasiwasi,Baada ya malipo kufanywa Benki na mteja kupewa nakala za uthibitisho ujumbe mfupi tajwa unaotumwa na mfumo tehama kuthibitisha malipo hauitaji taasisi ya BRELA bali BLARE/BRALE ambayo kimsingi sio BRELA.

USHAURI:
1. Ikithibitika ya kuwa kweli kuna utofauti wa kina,Uhakiki wa kina ufanywe na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

2. Hatua za kinidhamu ziwalenge watumishi wasio waaminifu pekee na mitandao ya ndani na nje.

3. BRELA ifinyangwe upya ili kukidhi haja za uboreshaji wa mazingira ya ufanyaji biashara/uwekezaji Tanzania likiwepo la mchakato wa usajiri na upataji leseni.

4. Leseni zote za biashara na uwekezaji zitolewe na Brela kwa mfumo kitita kwa kuiwezesha BRELA kuwa na ofisi katika Manispaa {Mapato ya usajiri na utoaji leseni katika manispaa yagawanywe kwa BRELA na manispaa husika}.

5. BRELA iwe na dawati mtambuka linalohusisha uratibu wa uwekezaji na biashara mahususi {Viwanda,Miradi mikubwa}.

6. Mifumo ya tehama iboreshwe ili kufanikisha upatikanaji wa taarifa kitita kwa malipo nafuu.

7. Kutengenezwe mfumo mtambuka unaohusisha usajiri wa biashara/kampuni na upataji wa usajiri ktk masuala ya kodi {TIN/VRN-TRA} na Utoaji leseni.
 
NINI KIFANYIKE BRELA KUEPUKA MAPENGO NA UDHAIFU.

1.Ikithibitika ya kuwa kweli kuna utofauti wa kina,Uhakiki wa kina ufanywe na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.
2.Hatua za kinidhamu ziwalenge watumishi wasio waaminifu pekee na mitandao ya ndani na nje.
3.BRELA ifinyangwe upya ili kukidhi haja za uboreshaji wa mazingira ya ufanyaji biashara/uwekezaji Tanzania likiwepo la mchakato wa usajiri na upataji leseni.
4.Leseni zote za biashara na uwekezaji zitolewe na Brela kwa mfumo kitita kwa kuiwezesha BRELA kuwa na ofisi katika Manispaa {Mapato ya usajiri na utoaji leseni katika manispaa yagawanywe kwa BRELA na manispaa husika}.
5.BRELA iwe na dawati mtambuka linalohusisha uratibu wa uwekezaji na biashara mahususi {Viwanda,Miradi mikubwa}.
6.Mifumo ya tehama iboreshwe ili kufanikisha upatikanaji wa taarifa kitita kwa malipo nafuu.
7.Kutengenezwe mfumo mtambuka unaohusisha usajiri wa biashara/kampuni na upataji wa usajiri ktk masuala ya kodi {TIN/VRN-TRA} na Utoaji leseni.
 
Kuna maeneo wamejitahidi sana na wanapaswa kupewa pongezi.Pasipo jicho la husuda Mtendaji mkuu anajitahidi sana kuhakikisha huduma zinatolewa kwa haraka na kuridhisha wateja na wadau.Mapungufu madogo madogo yamkini yanasababishwa na mazoea ya utendaji kazi kwa baadhi ya watumishi na pia tamaa ya wachache wasio na maadili.
 
Leo taarifa ya habari uhamiaji wamewakamata matapeli wengi wao wastaafu wa ofisi za serikali wakiwa na nyaraka nyingi famba ikiwemo nyaraka mbalimbali za serikali.
Walikuwa wanatoa leseni za halmashauri, leseni za ukaazi, passport. Isije kuwa Brela wanahujumiwa na matapeli kama hao
 
Kweli kazi bado ipo...

Yaani watu wamezoea kuiba hadi hawajali tena, au wanafikiri juhudi za Rais wetu hazitawafikia. Itakuwa ndio yale ya kupindisha labda juu ya makampuno yana nini, akina nani etc

Ila tujiulize kwanini wanaendelea kuiba bila kujali, ambapo uoga ni kama hawana.

Watakuwa wamejua maujanja mengi mtu anaweza kufanya kama wanazo akili za maujanja.. basi tu nilitaka kuzitaja ila naona nisimwage mchele mie na wengine wakajifunza.

Ngoja niendelee... sasa hawa wanadharau mabosi wao na pia kumdharau Rais wetu anayepambana na wanaiirudisha nyuma nchi yetu.

Tangu tuanze kusikia mambo ya kutumbua kuna kitu nimekuwa najiuliza... je hao wanaotumbuliwa wote wanashitakiwa!? Nasema wote kwa sababu najua wengine ndio wapo ndani, wengine wanafukuzwa tu kazi sijui wanalipwa au la ila wanaonekana mitaani kama vile hawakutenda lolote baya maisha yanaendelea

Je kuna tatizo gani hapa nchini kwenye uoande wa kushitaki watu walioiba pesa za serikali au kufanya madili yoyote!?

Kuna nini haswa, kesi zipo wapi, wameanza lini au ndio tuseme media ya nchini haitaki tuyajue haya, au ya udaku tu na kupokea bahasha wasitushe au hawapati bahasha wanadharau!?

Wengi wanaendelea kwa sababu wanajua hakuna lolote baya litawatokea zaidi ya kufukuzwa na haoooo... ndio wanawafilisi wanayoweza kukamata sawa, ila mbona wengi bado hawajali!? Kwa nini hatuyasikii hata wakaogopa!?

Mimi nafikiri kwa wanaoendelea kuiba wakijua awamu hii si ya mchezo mchezo na wanaona hawawezi kuyaacha yaishie awamu zilizopita basi, hata wakikubali makosa wafungwe tu waisome namba.

Yaani wanyooshweeeee.

Ona mtu eti kufoji vyeti miaka mingapi tena na kazi anafukuzwa, ukija mtu katapeli au kuibia serikali akikubali kosa huyo fine kama dharau tu haiendani na kosa halafu na anatoka nje kuendelea na maisha hata kama kaiba pesa za kutosheleza budget za mawizara.

Sasa wenye vyeti feki mfano mzuri sana kwa nini wao eti ni miaka saba wasipoachia kazi na sijui miaka mingapi mingi makosa ambayo hata hawakuiba... na wanao iba haswaaaa wanatoka au eti fine kama pesa kwao ya kununua pipi!?

Serikali ikaze buti haya ya utani yanaboa sana. Tupo nanyi ila mkaze buti. Fukuza, peleka mahakamani weka jela...

Msipobadiki mengi wengi wataendelea kuiba na kubafili njia ambayo hapo hata kuwakamata malu mtashangaaaaaa.

Wekeni namba ya watu kuripoti watu, iwe ya usiri hata wapokee wakubwa mtapata wengi sana sana. Yaani wengi watajitokeza kuwaripoti wenzao wanaojua wanatenda mabaya

Magufuli baba bado kazi unayo, naamini utawanyoosha tu utakapowapata kama unavyofanya sasa. Ila wa chini yenu nyie hao wafanyakazi wababe ndio wanaleta maajabu sana kuharibu mengine kwenye nyuso za watu.
 
Kiswahili chako mleta mada kinatia kinyaa.

Halafu wacha kudanganya, kusajili si chanzo kikubwa cha mapato mengi kama unavyotaka kuaminisha watu. Kusajili makampuni ni vijisenti tu. Lengo ni makampuni yafanye kazi yaingize kodi.

Sijuwi huu upuuzi huwa mnautoa wapi?
 
Brela,Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya taasisi kongwe inayopaswa kuliingizia taifa fedha nyingi kupitia tozo na malipo mbalimbali yahusuyo usajiri wa biashara,makampuni,viwanda,haki za kibiashara na uhakiki husika.

Tuhuma za wizi wa tozo na malipo katika taasisi za serikali kupitia mabenki hasa yenye mifumo ya uhakiki wa kitehama limekuwa tatizo lenye mizizi na vyombo vya usalama vyapaswa kutupia jicho la tatu na la nne ili kuepusha fedha za umma kudumbukia katika mifuko ya wenye uchu wa kujitajirisha pasipo kujali maendeleo ya taifa.Mfano wizi wa tozo za mamlaka ya bandari { TPA}kupitia mabenki yenye heshima ni moja ya madoa ktk mifumo inayotumika.

Makampuni na biashara nyingi zimekuwa zikisajiriwa na taasisi yetu pendwa ya Brela kila iitwapo leo {siku za kazi} na malipo kufanyika kupitia akaunti kadhaa kama ambavyo imekuwa ikiainishwa kupitia ankara zinazotolewa kieletroniki kupitia mfumo wa tehama na baada ya wateja kuweka pesa katika akaunti husika taarifa za ujumbe mfupi uingia katika simu za viganjani kuthibitisha kupokewa kwa malipo husika na risiti yenye nembo ya BRELA hutolewa baada ya mteja kuwakirisha hati ya malipo benki hivyo mchakato wa usajiri kukamirishwa baada ya siku mbili mpaka tatu ila kwa wenye haraka sana na wenye kutoa sadaka ndani ya siku moja kila kitu kinaweza kukamirishwa{pongezi kwa maboresho kwa muda unaotumika kuwa mchache tofauti na huko nyuma}.

Inasemekana pamoja na mihamala mingi kufanywa na makampuni mengi kusajiriwa lakini fedha zilizopo kwenye akaunti za BRELA haziwiani na zinazopaswa kuwepo kwa maana zilizopo ni chache mnoo..Kasheshe!!!.Wasiwasi,Baada ya malipo kufanywa Benki na mteja kupewa nakala za uthibitisho ujumbe mfupi tajwa unaotumwa na mfumo tehama kuthibitisha malipo hauitaji taasisi ya BRELA bali BLARE/BRALE ambayo kimsingi sio BRELA.

USHAURI:
1. Ikithibitika ya kuwa kweli kuna utofauti wa kina,Uhakiki wa kina ufanywe na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

2. Hatua za kinidhamu ziwalenge watumishi wasio waaminifu pekee na mitandao ya ndani na nje.

3. BRELA ifinyangwe upya ili kukidhi haja za uboreshaji wa mazingira ya ufanyaji biashara/uwekezaji Tanzania likiwepo la mchakato wa usajiri na upataji leseni.

4. Leseni zote za biashara na uwekezaji zitolewe na Brela kwa mfumo kitita kwa kuiwezesha BRELA kuwa na ofisi katika Manispaa {Mapato ya usajiri na utoaji leseni katika manispaa yagawanywe kwa BRELA na manispaa husika}.

5. BRELA iwe na dawati mtambuka linalohusisha uratibu wa uwekezaji na biashara mahususi {Viwanda,Miradi mikubwa}.

6. Mifumo ya tehama iboreshwe ili kufanikisha upatikanaji wa taarifa kitita kwa malipo nafuu.

7. Kutengenezwe mfumo mtambuka unaohusisha usajiri wa biashara/kampuni na upataji wa usajiri ktk masuala ya kodi {TIN/VRN-TRA} na Utoaji leseni.

MKUU TPA
MKUU ALIPOINGIA ALIKUTA KUNA ACC YA WANAUME PALE NASACO VIA CRDB MZIGO UKIINGIZWA WALE JAMAA WANAPATA TAARIFA KWA UDI NA UVUMBA WANAPAMBANA KUTOA.MIZIGO YA MTEJA WAO...NDANI YA NUSUSAA ACHA TU NCHI IMELIWA
 
Kiswahili chako mleta mada kinatia kinyaa.

Halafu wacha kudanganya, kusajili si chanzo kikubwa cha mapato mengi kama unavyotaka kuaminisha watu. Kusajili makampuni ni vijisenti tu. Lengo ni makampuni yafanye kazi yaingize kodi.

Sijuwi huu upuuzi huwa mnautoa wapi?
Shangaziii kaguswaaaa dadaaa mamamaweea

Ukwelii ukoupojuu kama hukukielewa mbona umejibu fasaha aunt ff
 
One man show..

Yeye anataka kufanya kila kitu yeye.

Mfumo umelifikisha taifa hapa.

Solution ni katiba ya warioba..
Ni upambavu kufikiria kuwa kuwa na katiba nzuri sana ndo kukomesha ufisadi. Hata kama mfumo ukiwa mzuri vipi kama hauna watu waadilifu ni sifuri kwa nchi za kiafrica ,mtu mmoja mwenye pesa zake anaweza kufanya mfumo mzuri ukaparalized kumbuka mfumo sio roboti au dubwasha ,bali ni watu , jiulize kama nchi nyingi tu zenye katiba za kisasa na za hivi karibu badala ya ifisadi kupungua ndo kwsnza umeongezeka
 
Brela,Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya taasisi kongwe inayopaswa kuliingizia taifa fedha nyingi kupitia tozo na malipo mbalimbali yahusuyo usajiri wa biashara,makampuni,viwanda,haki za kibiashara na uhakiki husika.

Tuhuma za wizi wa tozo na malipo katika taasisi za serikali kupitia mabenki hasa yenye mifumo ya uhakiki wa kitehama limekuwa tatizo lenye mizizi na vyombo vya usalama vyapaswa kutupia jicho la tatu na la nne ili kuepusha fedha za umma kudumbukia katika mifuko ya wenye uchu wa kujitajirisha pasipo kujali maendeleo ya taifa.Mfano wizi wa tozo za mamlaka ya bandari { TPA}kupitia mabenki yenye heshima ni moja ya madoa ktk mifumo inayotumika.

Makampuni na biashara nyingi zimekuwa zikisajiriwa na taasisi yetu pendwa ya Brela kila iitwapo leo {siku za kazi} na malipo kufanyika kupitia akaunti kadhaa kama ambavyo imekuwa ikiainishwa kupitia ankara zinazotolewa kieletroniki kupitia mfumo wa tehama na baada ya wateja kuweka pesa katika akaunti husika taarifa za ujumbe mfupi uingia katika simu za viganjani kuthibitisha kupokewa kwa malipo husika na risiti yenye nembo ya BRELA hutolewa baada ya mteja kuwakirisha hati ya malipo benki hivyo mchakato wa usajiri kukamirishwa baada ya siku mbili mpaka tatu ila kwa wenye haraka sana na wenye kutoa sadaka ndani ya siku moja kila kitu kinaweza kukamirishwa{pongezi kwa maboresho kwa muda unaotumika kuwa mchache tofauti na huko nyuma}.

Inasemekana pamoja na mihamala mingi kufanywa na makampuni mengi kusajiriwa lakini fedha zilizopo kwenye akaunti za BRELA haziwiani na zinazopaswa kuwepo kwa maana zilizopo ni chache mnoo..Kasheshe!!!.Wasiwasi,Baada ya malipo kufanywa Benki na mteja kupewa nakala za uthibitisho ujumbe mfupi tajwa unaotumwa na mfumo tehama kuthibitisha malipo hauitaji taasisi ya BRELA bali BLARE/BRALE ambayo kimsingi sio BRELA.

USHAURI:
1. Ikithibitika ya kuwa kweli kuna utofauti wa kina,Uhakiki wa kina ufanywe na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

2. Hatua za kinidhamu ziwalenge watumishi wasio waaminifu pekee na mitandao ya ndani na nje.

3. BRELA ifinyangwe upya ili kukidhi haja za uboreshaji wa mazingira ya ufanyaji biashara/uwekezaji Tanzania likiwepo la mchakato wa usajiri na upataji leseni.

4. Leseni zote za biashara na uwekezaji zitolewe na Brela kwa mfumo kitita kwa kuiwezesha BRELA kuwa na ofisi katika Manispaa {Mapato ya usajiri na utoaji leseni katika manispaa yagawanywe kwa BRELA na manispaa husika}.

5. BRELA iwe na dawati mtambuka linalohusisha uratibu wa uwekezaji na biashara mahususi {Viwanda,Miradi mikubwa}.

6. Mifumo ya tehama iboreshwe ili kufanikisha upatikanaji wa taarifa kitita kwa malipo nafuu.

7. Kutengenezwe mfumo mtambuka unaohusisha usajiri wa biashara/kampuni na upataji wa usajiri ktk masuala ya kodi {TIN/VRN-TRA} na Utoaji leseni.
Una mawazo na ushauri mzuri

Nchi inapaswa kwenda systematically na ukusanyaji mapato uonekane...sio kwenye kodi tu.
 
Kuna maeneo wamejitahidi sana na wanapaswa kupewa pongezi.Pasipo jicho la husuda Mtendaji mkuu anajitahidi sana kuhakikisha huduma zinatolewa kwa haraka na kuridhisha wateja na wadau.Mapungufu madogo madogo yamkini yanasababishwa na mazoea ya utendaji kazi kwa baadhi ya watumishi na pia tamaa ya wachache wasio na maadili.
Mkuu samahani, hivi gharama ya kusajili kampuni mpya kabisa ni bei gani kwasasa? (kwamimi mtanzania wa kawaida)
 
Kiswahili chako mleta mada kinatia kinyaa.

Halafu wacha kudanganya, kusajili si chanzo kikubwa cha mapato mengi kama unavyotaka kuaminisha watu. Kusajili makampuni ni vijisenti tu. Lengo ni makampuni yafanye kazi yaingize kodi.

Sijuwi huu upuuzi huwa mnautoa wapi?
sio upuuzi mama,ni uharo..niwie radhi kwa kukutia kinyaa muda wa daku
 
Ni upambavu kufikiria kuwa kuwa na katiba nzuri sana ndo kukomesha ufisadi. Hata kama mfumo ukiwa mzuri vipi kama hauna watu waadilifu ni sifuri kwa nchi za kiafrica ,mtu mmoja mwenye pesa zake anaweza kufanya mfumo mzuri ukaparalized kumbuka mfumo sio roboti au dubwasha ,bali ni watu , jiulize kama nchi nyingi tu zenye katiba za kisasa na za hivi karibu badala ya ifisadi kupungua ndo kwsnza umeongezeka
Ndio umeandika nini hiki sasa?

Hivi wewe unaweza ukamwambia mwenzako mawazo yake ni ya kipumbavu wakati ya kwako uliyoandika hapa ndio ya kipumbavuu kiwango cha mwisho?

Kwa hiyo utaka kutuaminisha katiba bora haina maana wala haitoweza kuleta mabadiliko yoyote ya kimfumo!?

Unajua umuhimu wa katiba wewe?

Nyie majitu ambayo hamkwenda shule mnastahili kukatwa vichwa na kutupwa mto ruvu muwe chakula ya viboko kwa maana ni mizoga tu katika taifa hili.

Kuwapoteza wapuuzi kama wewe ni faida kubwa sana kwa taifa na hasa mnapokuwa kitoweo kwa viboko wetu wanaotuingizia pesa kupitia utalii.
 
Kiswahili chako mleta mada kinatia kinyaa.

Halafu wacha kudanganya, kusajili si chanzo kikubwa cha mapato mengi kama unavyotaka kuaminisha watu. Kusajili makampuni ni vijisenti tu. Lengo ni makampuni yafanye kazi yaingize kodi.

Sijuwi huu upuuzi huwa mnautoa wapi?
Makampuni yanafungwa, mkiendelea kuamini yote yalikuwa ya wapiga dili ruksa endeleeni kuamini hivyo hamkatazwi kuchaguwa ujinga.

Nina kikampuni changu cha pembeni hiki pia nataka nikifunge kisheria msije kupiga takwimu batili za idadi ya makampuni, mengi yameshashindwa kufanya biashara.
 
Kiswahili chako mleta mada kinatia kinyaa.

Halafu wacha kudanganya, kusajili si chanzo kikubwa cha mapato mengi kama unavyotaka kuaminisha watu. Kusajili makampuni ni vijisenti tu. Lengo ni makampuni yafanye kazi yaingize kodi.

Sijuwi huu upuuzi huwa mnautoa wapi?
je home shopping centre walikuwa wanalipa na kuingiza kodi?
 
Back
Top Bottom